Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Mimi Kuna pisi zangu zinawasiliana na maex lakini mm siwezi tukiachana ni vita🤣🤣
 
🤣🤣🤣Amekufanya nn mpaka unamwita ivo binadamu mwenzio mwee
Alikuwa mke wa mwanangu baharia wangu a real gentleman anapigwa miti na yeyote yule muda na siku yoyote ile dadadadeki wangoni sio watu kumbe wana dawa za kimila wanakunywa zinazowafanya wawe nyege za ngono muda wote.

Maisha yake yote hadi anakufa yule ni mbwa
 
[emoji120]
 
Aisee,ukipata mpenz au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo.Ana namba za maex wake wote,anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea....I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana....ndoa itakuwa haina amani
📌📌📌
 
Njoo umuone Ex nyumba inabomolewa🤣🤣🤣
Mie niseme ukweli namba ya ex nnayo, nikikwama ananisupport....who knows tomorrow? 🤸🏿‍♀️
🤣🤣🤣🤣Mimu hapana yaani
 
Mi uzuri wote wameolewa na wote wanawasiliana na Mimi sinaga baya Mimi.
 
Njooni, kuna mtu kashalizwa huku
 
Aisee,huzuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…