Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Mahusiano. Ya kukumbuka ex wako sio fresh maana unamrubuni wasasa na hutojua yupi unamtaka hapo ndio shida eti
napitia hii hahaha sema uzuri ex na current ni mtu na best ake...so my queen huwa anasema step zote anajua maana ex hatambui kitu..

Na nampenda current maana ndo alinitoa kwenye shida na manyanyaso ya X.. so am trying to love her namhudumia poa na jana tu nimetoka na haka katoto kaakenjoy mji
 
Usijali mimi maX nimewapiga X naahidi sitokukwaza.
 
Vizuri
 
🤣🤣🤣🤣 Oo kumbe
 
Unabaki unaangaikaangaika.kutulia ni kitu muhimu sana
Ndio Wala hajui arudi huko au akae nawewe matokeo yake anakupotezea muda ila wanaume ni shida sana,wanawanawake wengi halafu akiwa kwako ana😝wapa majina feki sijui x,voda,Airtel kumbe uongoo
 
Ndio Wala hajui arudi huko au akae nawewe matokeo yake anakupotezea muda ila wanaume ni shida sana,wanawanawake wengi halafu akiwa kwako ana😝wapa majina feki sijui x,voda,Airtel kumbe uongoo
🤣🤣🤣🤣Hatari tupu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Oo kumbe
eee mtengeneze best moments za kutosha ila pia individual muwe mnapushiana kufikia malengo flani....

Mfano wewe anakupush unakuja pata kazi bandarini unaolewa na mwingine alafu yeye unampush anakuja pata kazi Tra anaoa hapo fresh tu hata chuki hautakuwa nayo...

Wengi tunachuki na ma Ex sababu tumefeli mishe nyingi za maisha sababu yao
 
Yeah,sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…