GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Oktoja 29 utafanya nini?

  • Nitatiki

    Votes: 16 6.9%
  • Nitatoka

    Votes: 215 93.1%

  • Total voters
    231
  • Poll closed .
Hii iwekwe KWENYE gambling tutie mzigle
 
Ngoja niende na moja maana naona watu wameipuuza sema huyu bibi simuelewi hata kidogo sema hiyo 29 mkijitokeza barabarani count me in(cha kufia nini bibi mwenyewe haelewiki huyu sijui itakuaje)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…