Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
We kada naona umepanic...na bado.Unakata rufaa kwenye hamna ili iweje? Jambazi gani anatumia Vx la serikali kuvamia mchana?
View attachment 2267218
Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .
KILA UBAYA UTALIPWA
Wema ni Akiba na Ubaya ni akibaKILA UBAYA UTALIPWA
Mmmmmgh sasa mbona makasiriko?DPP ni mpuuzi; acha aendelee kupoteza muda wake. Prosecution case ikikosewa kwenye trial phase ni hasara ya kudumu. Huwezi kushinda kwa kukataa rufaa!
Tunachezeshwa makhirikhiriHii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .
KILA UBAYA UTALIPWA
Matusi yann mkuuKada wa Ccm baba yako
Nimeambiwa juzi . Kule hai kuna watu waliteswa na huyu bwana leo ukiwatajia sabaya wanakimbia hawataki hata kumuona kwa unyama wake.Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .
KILA UBAYA UTALIPWA
Safi sana,huyu mshenzi hastahili kuwa uraiani hata dakika moja.Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .
KILA UBAYA UTALIPWA
Mahakama ya Rufaa ndiyo itamaliza huu ubishiDPP ni mpuuzi; acha aendelee kupoteza muda wake. Prosecution case ikikosewa kwenye trial phase ni hasara ya kudumu. Huwezi kushinda kwa kukataa rufaa!
Mbinu ile wameicheza vibaya na kijinga. Badala ya kuleta huruma kwa Sabaya imeongeza chuki kwa Raia dhidi ya serikali.Hamna kitu hapo, CCM wameshatengeneza wale wamama wanaolia mahakamani siku sio nyingi huyo Sabaya atakuwa huru, wanavuta muda tu ili kutuzubaisha.
Dpp ndo jamuhuri,rufaa ni haki ya kila upande pale ambapo upande huo haujaridhika na uamuzi.Hivi hii mambo inaruhusiwa? DPP kukata rufaa? Sio kuwa anafungua kesi nyingine?
Rufaa inaruhusiwa kabisa.Hivi hii mambo inaruhusiwa? DPP kukata rufaa? Sio kuwa anafungua kesi nyingine?