Ole Sabaya bado hali ngumu: DPP amkatia rufaa kwenye kesi ya kwanza

Ole Sabaya bado hali ngumu: DPP amkatia rufaa kwenye kesi ya kwanza

Mbinu ile wameicheza vibaya na kijinga. Badala ya kuleta huruma kwa Sabaya imeongeza chuki kwa Raia dhidi ya serikali.
Atatoka, but sio leo au kesho maana atasota sana sio chini ya miaka 5 ya nenda rudi mahakamani akitokea jela.
Chuki ipo ww?
 
Ukiona Serikali ya Tanzania inashindwa kesi, ujue hiyo kesi ni mbovu kupindukia; ni mbovu kiasi kwamba mahakama imekosa kisingizio chochote kile cha kuwa upande mmoja na Serikali.
Si kwa mahakama za Tz zinaweza kukufanya lolote kwa lolote
 
Itakuwa vizuri kabisa huyu kufungwa. Na iwe fundisho kwa mwengine??
 
Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .

View attachment 2267336

KILA UBAYA UTALIPWA
 
DPP ni mpuuzi; acha aendelee kupoteza muda wake. Prosecution case ikikosewa kwenye trial phase ni hasara ya kudumu. Huwezi kushinda kwa kukataa rufaa!
Raha yetu ni jambazi kulala uku likinyea ndoo, JPM alimlinda jambazi sana huyu jambazi, naye tunamuombea aendelee kuchomwa na moto wa milele
 
Raha yetu ni jambazi kulala uku likinyea ndoo, JPM alimlinda jambazi sana huyu jambazi, naye tunamuombea aendelee kuchomwa na moto wa milele

Ni strength ya kesi (sio strength ya chuki) dhidi yake itakayomfanya afungwe! Hili halina ubishani.
 
Ameumiza watu wengi sana..
Katibu wa ccm Hai Ana sifa tofauti na waccm ninaowafahamu:-
1. Ni muongo 100%
2. Si msema kwa Kweli 75%
3. Anapenda chuchu kupitia kiasi
4. Hana uzoefu na ukatibu wa wilaya ndani ya ccm kaanzia kazi hiyo Hai.
5. Ni mla rushwa kupitia kiasi.
6. Ana maneno mengi kuliko vitendo
7. Ni katibu mchumia tumbo ambapo ni rahisi kununuliwa na upande wa pili
8. Kila wiki end ikifika anafiwa na anakwenda Tanga kwao na kuachia jimbo chadema.
9. Ni katibu mwenye uwezo wa kufanya vikao 9 kwa siku maeneo tofauti na watu tofauti bila kuandika agenda za vikao mwisho hakumbuki akichokiongea jana.
10. Ni katibu amvaye hana siri kila neno analiongea kila mahali padipo kujali usiri ya kazi za chama.
11. Ana tabia ya kuwakosoa viongozi wa ccm hadharani bila kuja uwepo wa viongozi wa serikali au watumishi wa umma.
12. Hana dira ya wilaya anayoiongoza hivyo hajajiandaa kukabiliana na Chadema 2025.

Ushauri:
1. Katibu wa ccm Mkoa wa kilimanjaro ukimya wako ofisini kwako bila kupiga hodi Hai kufuatilia mwendo mzima wa uchaguzi wa ccm Hai, maana yake unaliweka jimbo rehani.
2. Fuatilia mwendo mzima wa Katibu wa ccm Hai, ukizingatia ni mgeni Hai, ni mgeni kwa kuteuliwa kuwa katibu wa ccm wilaya na jimbo la Hai lilikuwa chadema miaka mingi na hiki ni kipindi cha uchaguzi ndani ya chama.
 
Wewe kenge, ushindi katika kesi sio swala la kutamani tu ushinde. Ushindi unapatikana kwa strategies. Hao mburura na hakimu mkazi ndio walioiharibu hiyo kesi. Kazi ya mahakama inayosikiliza rufaa ni kupitia tu yaliyojiri huko kwenye mahakama ya chini.
Kunguni katika ubora wa kimataifa nimeipenda hii-- "Strategies" za kufuata maagizo! Hata mdhikiri uchi atahukumiwa na hizo mahakama za maagizo au mahakama za jamii iliyoumizwa! stay tuned!
 
Back
Top Bottom