Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Nimecheka Sana hii komenti ,,eti imetengeneza wamamaHamna kitu hapo, CCM wameshatengeneza wale wamama wanaolia mahakamani siku sio nyingi huyo Sabaya atakuwa huru, wanavuta muda tu ili kutuzubaisha.