Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sabaya alitenda maovu mengi sn inatakiwa apewe mvua za kutoshaHii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .
KILA UBAYA UTALIPWA