Ole Sabaya bado hali ngumu: DPP amkatia rufaa kwenye kesi ya kwanza

Sabaya alitenda maovu mengi sn inatakiwa apewe mvua za kutosha
 
Mbinu ile wameicheza vibaya na kijinga. Badala ya kuleta huruma kwa Sabaya imeongeza chuki kwa Raia dhidi ya serikali.
Atatoka, but sio leo au kesho maana atasota sana sio chini ya miaka 5 ya nenda rudi mahakamani akitokea jela.
Wakati anakata watu masikio mbona hiyo huruma yeye hakuwa nayo? acha afungwe
 
"Gerezani sio picnic ni mateso' mbw... na shetwani mkubwa huyu! wakati ukiwatesa watu kwa uporaji na kuwakata maskio na kubaka wake za watu hadharani hukujua ni mateso kwao?
Huyu alitakiwa aachiwe huru awe mtaani tumkate vipandevipande!
 
Ohooooo !!!
 
Hivi hii mambo inaruhusiwa? DPP kukata rufaa? Sio kuwa anafungua kesi nyingine?
Kesi iliyotolewa huku kama hukubaliani na hukumu unakataa Rufaa kama kufungua ufungue kesi nyingine ambayo inatofautiana na ile ya awali aliyoshinda mshtakiwa.
 
Ndio hasara ya kumteuwaa DDP mnywa mbege
Jenerali Sabaya analia Jela sio Picknic ni mateso,hakika maisha ni safari ndefu na kuna kupanda na kushuka, Jenerali leo anabadili Jela tu mara Kisongo mara Karanga na kuamrishwa kulala saa 9 alasiri,daaaah[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…