Ole Sabaya bado hali ngumu: DPP amkatia rufaa kwenye kesi ya kwanza

Hamna kitu hapo, CCM wameshatengeneza wale wamama wanaolia mahakamani siku sio nyingi huyo Sabaya atakuwa huru, wanavuta muda tu ili kutuzubaisha.
Nimecheka Sana hii komenti ,,eti imetengeneza wamama
 
Jenerali Sabaya analia Jela sio Picknic ni mateso,hakika maisha ni safari ndefu na kuna kupanda na kushuka, Jenerali leo anabadili Jela tu mara Kisongo mara Karanga na kuamrishwa kulala saa 9 alasiri,daaaah[emoji1787][emoji1787]
Bado ana kesi za Dar na Mwanza. Huyo kijana ana makosa mengi sana utadhani Hitler
 
Kunguni wewe damu za watu zimeozea tumboni bado unalia na hili jambazi litanyea ndoo tu!
DPP ni mpuuzi; acha aendelee kupoteza muda wake. Prosecution case ikikosewa kwenye trial phase ni hasara ya kudumu. Huwezi kushinda kwa kukataa rufaa!
 
Huyu Mwamba Mungu ameamua kudili naye kisawa sawa
 
DPP ni mpuuzi; acha aendelee kupoteza muda wake. Prosecution case ikikosewa kwenye trial phase ni hasara ya kudumu. Huwezi kushinda kwa kukataa rufaa!
Unateseka ukiwa wapi mkuu? Hii inaitwa ubaya kwa ubaya.

Wapo wengi sana wanafanya maovu na wanaishi raha mstarehe pengine ilimfanya Sa7ya aamini hivyo Ila nature imemkatalia kabisa.
 
DPP ni mpuuzi; acha aendelee kupoteza muda wake. Prosecution case ikikosewa kwenye trial phase ni hasara ya kudumu. Huwezi kushinda kwa kukataa rufaa!
Sabaya aachiwe tu uraiani.
Hakosi watu wa kumhukumu kwa aliyowatendea.
Watampata tu, pengine ahamie Kenya.
 
Mwacheni avune alivhopanda alinyanyasa raia nae aonje joto kidogo
 
Iliaashangaza wengi kina nani? Tunajua kesi iliyowashangaza wengi ni ile ya kuachiwa kwa Gaidi Mbowe ktk mazingira yenye utata
 
Kunguni wewe damu za watu zimeozea tumboni bado unalia na hili jambazi litanyea ndoo tu!

Wewe kenge, ushindi katika kesi sio swala la kutamani tu ushinde. Ushindi unapatikana kwa strategies. Hao mburura na hakimu mkazi ndio walioiharibu hiyo kesi. Kazi ya mahakama inayosikiliza rufaa ni kupitia tu yaliyojiri huko kwenye mahakama ya chini.
 
Unateseka ukiwa wapi mkuu? Hii inaitwa ubaya kwa ubaya.

Wapo wengi sana wanafanya maovu na wanaishi raha mstarehe pengine ilimfanya Sa7ya aamini hivyo Ila nature imemkatalia kabisa.

Ukiona Serikali ya Tanzania inashindwa kesi, ujue hiyo kesi ni mbovu kupindukia; ni mbovu kiasi kwamba mahakama imekosa kisingizio chochote kile cha kuwa upande mmoja na Serikali.
 
Magazeti ya udaku udaku wa magaidi wa saccos utayaweza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…