Nasikia jamaa anapelekewa schedule maintenance, anachomoa, jamani grease inahitajika, oil chafu, hataki,Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock
Wewe ni mshauri wa Raisi?Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.
Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.
Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.
Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Kwahy huoni kabisa tatizo la umeme tangu aingie huyo kipara ktk wizara hii nyeti? Nina uhakika unaishi kwenu au ni shoga wwMsituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Kwahiyo jamaa akachagua u PM kabisa.Yeye ndio kajichagulia enzi za jpm aliomba awe pm afu nape aliomba fedha wizara.
Walimwambia Mana walijua kwa uhakika kuwa wao ndio nchi Yao ama ccm Yao tu hakuna wengine.
Pia hii Hali huwa naona tofauti jinsi wanyama wengine wanavyokula wengine. Nyumbu wapo hata buku wanasimama wanashuhudia mmoja wao analiwa hata na Simba/chui mmoja ama wawili Ila wanashindwa kushirikiana na kuwafukuza hao wanaomla mwenzao
1. MakambaKwa maana hiyo unataka kusema kwamba Makamba ndio kajichagulia Wizara??
What are you trying to imply??
Kwamba Rais hana uwezo wa kufanya maamuzi??
Masihara bwana.1. Makamba
2. Liziwani
3. Nappe
Hao wamejichagulia wizara
Sasa unazani umeme hauwashwi 2022?Tatizo la Kalemani ni kutudanganya umeme wa Mwl Nyerere utawashwa 2022 wakato hata robo tatu ya matengenezo bado....Tusipende kukosa objectivity...Kama huyu wa sasa hafai haina maana na Kalemani anafaa lets not be obsessed with individual interests!
Ndo ivyo mkuu. Wenye chama wapo walioakisisi. Waliokitoa tokea ikiwa TANU na ASP mkuu kikaundwa chama ChaKwahiyo jamaa akachagua u PM kabisa.
Na mwingine Wizara ya Mpunga.
Ama kweli.
Hao unaosema watolewe ndio washauri wake nani atoke nani aingie nani ni tishio kwake 2025 kumbe asijue atageukwa na wao haohao.maoni yako aneyaona lakini unajisumbua soma upepo bwashe sasa hivi upepo ulishageuka. Dada vua setijali yake vizuri ! Utapata majibu.Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.
Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.
Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.
Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Hawezi kukusikia acha ampe mbelekoNi ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.
Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.
Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.
Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Daaah kama uwezo wako wa kufikiri ni huuu basi tanzania tunasafari ndefu( unaamini wafanyakazi wa tanesco walikaa miaka mitano bila kufanya matengenezo hadi alipofariki mjomba yule)Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock