Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Umuhimu wa Nape hujauona mpaka sasa?,,
Au mpaka vifurushi vya Vodacom, airtell, etc vianze kutolewa bure ndo uone umuhimu wake?
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Tena ashukuru sana kuonja uwaziri. Kama sio jpm kalemani angekua bado anachunga ng'ombe burigi chato mpaka sasa[emoji23][emoji23]
 
Kalemani atleast aliimudu hii wizara,kumtoa na kuleta mtu mgeni atakayetakiwa ku_study kwanza mazingira na mifumo ni kudumaza wizara,na kuuumiza watumiaji wa huduma (umeme)
Maslahi ya taifa yawe mbele kuliko maslahi binafsi.

#Maendeleo hayana chama
 
Kalemani ana kipi hasa cha zaidi? labda ungesema mama atafute mtu mwingine kutoka kitaa huku....ila kama ni Kalemani bora huyo huyo Makamba.... tunataka watu flexible wenye exposure na sio rigid and mechanical people ambao exposure ni zero...
Exposure ya makamba imewahi kusaidia nini na wapi? Kule bumbuli kwenye saccos alipita na billioni.
 
Watu wanateuana kwa kukomoana .
Sisi yetu macho & masikio
 
Umuhimu wa Nape hujauona mpaka sasa?,,
Au mpaka vifurushi vya Vodacom, airtell, etc vianze kutolewa bure ndo uone umuhimu wake?
Vifurushi vimepungua bei? Hebu tujuze huenda wengine simu zetu zina shida
 
Huku ndipo hafai kabisa mkuu.
Hataki kushirikiana na taasisi za wabongo hasa kwenye issues za mazingira, zaidi anachukua proposal yenu then anaenda kuifanyia yeye kazi wkt hajui target yenu.
Uzungu mwingi. Ananifurahisha sana anavyopenda kufanana na Obama.
 
Bora kulala gizani kuliko kunigwa na kusokomezwa kwenye sandarusi[emoji851][emoji851]
Sasa haya yote ya nini ?

Kwamba sasa hivi hakuna mauwaji?

Anyways; Ili uzi wangu ubaki salama najiepusha na mjadala huu.
 
Umuhimu wa Nape hujauona mpaka sasa?,,
Au mpaka vifurushi vya Vodacom, airtell, etc vianze kutolewa bure ndo uone umuhimu wake?
Vifurushi vimefanyeje kwani?.

Mimi naishi nchi gani?

Nakumbuka vifurushi vilishuka wakati mbawara akiwa waziri, vikaja kupanda mwaja jana chini ya serikali ya awamu ya sita, hadi sasa viko palepale.

Usikute unatumia bando la oficin.
 
Byabato basi awe promoted awe waziri
 
Vifurushi vimefanyeje kwani?.

Mimi naishi nchi gani?

Nakumbuka vifurushi vilishuka wakati mbawara akiwa waziri, vikaja kupanda mwaja jana chini ya serikali ya awamu ya sita, hadi sasa viko palepale.

Usikute unatumia bando la oficin.
No vifurushi vilikuwa vipande tena last week, Nape akapiga stop
 
Mwacheni mzee wa watu apumzike endeleeni kufanya mambo yenu!
 
Chato line na sukuma gang
 
Katiba inamtaka ateue waziri miongoni mwa Wabunge. Kwa upande mwingine naungana nawe kwa nafasi kama za Wakurugenzi na Wenyeviti wa Bodi.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…