Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Alijitahidi sana pale Nishati. Hata JK alijikuta anamrudisha JPM Ujenzi ingawa aliwahi kumbadilisha, lkn aliyepewa kuwa Waziri wa Ujenzi baada ya JPM alishindwa kufikia viwango ikabidi JK amrudishe tu.Kwaiyo Kalemani Ni special one, ikitokea amekufa tutakaa giza milele au sio!?
Sukuma gang alikuwa Hana uwezo bali unampamba tu kwasabb una unasaba naoSasa kipi bora?
Sukuma gang ama tuendelee kulala giza?.
Kwani alizaliwa kuwa waziri? Why usijipigie debe hata wewe? Au wewe upo duniani ili uwe chawa??Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.
Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.
Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.
Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
JK alikua ana nia nzuri sana ya kuanzisha shule za kata ila sasa kila mtu ana jua kila kitu.Vifurushi havija pungua bei ili sasa wote tulipe kodi, una daiwa loans board umeajiriwa private sector sasa
Sasa matusi ndiyo yana fanya muonekane hamna hoja, ukinijibu kistaarabu utapungukiwa nini. Watu wengi hawawapendi nyie walinda legacy kwakua mna matusi. kwani ukitaja mazuri ya JPM kuna shida gani?
Leo ndiyo naelewa kwa mara ya kwanza kwamba, anajifananisha na Obama, doo!.Uzungu mwingi. Ananifurahisha sana anavyopenda kufanana na Obama.
Ombi hili zuri Sana, natamani Mhe Rais alione na alifanyie kazi kwa haraka! Tunamuhitaji aendelee kututawala 2025, na Umeme ndio kitu pekee kinachoweza kuzima ndoto hiyo! Hongera Sana mtoa post unaonyesha upendo mkubwa kwa Rais wetu kipenzi.Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.
Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.
Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.
Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Sifa wa kuwa waziri wa nishati ni kujua kiswahili!!!Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Tutoleeni utheeenge wenu, msitake kumpangia Rais huo ujinga wenu wa kikabila na udini, huyo Kalemani wenu yeye huwa anatoa fedha mfukoni za kuiendesha hiyo TANESCO?! Au kazaliwa awe waziri wa nishati!?Alijitahidi sana pale Nishati. Hata JK alijikuta anamrudisha JPM Ujenzi ingawa aliwahi kumbadilisha, lkn aliyepewa kuwa Waziri wa Ujenzi baada ya JPM alishindwa kufikia viwango ikabidi JK amrudishe tu.
Kama Kalemani aliifanya Wizara na Tanesco kuwa bora na bado yupo, akirudishwa inaswihi.
Vv
Wasukuma mna tabu Sana, huyo Kalemani anaewapa hela mumpigie debe,mwambieni anajiharibia kabisaaOmbi hili zuri Sana, natamani Mhe Rais alione na alifanyie kazi kwa haraka! Tunamuhitaji aendelee kututawala 2025, na Umeme ndio kitu pekee kinachoweza kuzima ndoto hiyo! Hongera Sana mtoa post unaonyesha upendo mkubwa kwa Rais wetu kipenzi.
Ila wewe jamaa...kila nikisoma mabandiko yako huwa ninacheka sana😅Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Huyu alipaswa kufukuzwa mapema sana kwa kuwa Dalali wa kununua ndege kwa mchongo!!Wa kurudishiwa wizara hapa ni Dr. CHAMURIHO TU (SIKUONA MANTIKI YA KUMNYANG'ANYA WIZARA)!
January amefiti pale Nishati.Sasa kipi bora?
Sukuma gang ama tuendelee kulala giza?.
Sio hana uwezo ila anamkubali Makamba kiasi anaweza kuchagua sehemu aitakayo! Hivi unajua kuwa ata Mkurugenzi wa Tanesco ni rafiki kitambo wa January? Unajua January ndiye alipeleka jina kwa Rais kuwa anamtaka Maharage awe Mkurugenzi na Ikulu ikatii?Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba Makamba ndio kajichagulia Wizara??
What are you trying to imply??
Kwamba Rais hana uwezo wa kufanya maamuzi??
Jamaa yuko VizuriTena ashukuru sana kuonja uwaziri. Kama sio jpm kalemani angekua bado anachunga ng'ombe burigi chato mpaka sasa[emoji23][emoji23]
Mi kwangu vimepanda maradufu!No vifurushi vilikuwa vipande tena last week, Nape akapiga stop