Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

Uzuri wenyewe JPM ni akili kubwa sana, yeye hakuna anaye weza kumtoa katika ile ahadi yake kuu. "Mniamini Watanzania Sitawaangusha" Na kweli hajawaangusha katika utendaji wake. Yuko focused sana haruhusu kelele za chura zimzuie kutimiza malengo yake.

Mabeberu wamejitahidi kumprovoke yeye kawapotezea, mpaka ikibidi sana ndio atawajibu. Moja ya maelekezo Lissu aliyo pewa huko alipotoka ni kuhakikisha anamchokoza JPM na serikali kwa namna yeyote ile.

Lakini mwenyewe JPM kaelewa na ameliona hili tayari. Pamoja na maneno ya Lissu ya kutaka kuumuzi JPM kwa kila namna ili aseme chechote so far kaambulia patupu.

JPM ni muumini wa ile kauli ya matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.
 
Wataongea lugha ipi kwenye huo mdahalo, maana kuna mmoja lugha ya mawasiliano ni changamoto kwake.
 
Mhh... huo mdahalo utaisha salama kweli??
 
Jamaaa mshamba yule hawezi kukubali anachokijua yeye ni kuteka watu tu
 
ngalanga
Kama ulichoandika ndiyo staili ya mjadala wa Lissu- by extraploation; basi ni wazi matokea ya mjadala huo yanajulikana na wala hakuna haja ya kupoteza muda kwa mjadala tena.Labda ukiri tu wala maoni yako hayana uhusiano na maoni ya Lissu
 

Lissu has a mental problem, activist with no vision either mission. He is neither a presidential Material, he has bullets wounds + legal jargon to seek sympathy from the public.

Hatrage in his soul filled by his liberal sponsors...all the time he thinks of demonstrations and dividing the Nation.

Cheap politics..

Kiufupi hakuna wa kushindana na Magufuli Au CCM 2020 mark my word.
 
Mkuu kwa Lissu hata huu ulioutoa hapa ni ushauri tosha na hata ungemwambia nusu SAA kabla ya mdahalo angeweza kubadilika na Ku flow kwa namna uliyotaka.
Maneno yale ya hasira dhidi ya Magufuli yalitokana na mazingira yaliyokuwa yamemzunguka wakati ule lakini nadhani kwa sasa hayapo au joto limepungua.
Tulimuona Bungeni akipangua hoja bila hasira pamoja na maudhi ya mle ndani.
 

Mbona Magufuli ndiye anaongea kwa hasira na Ukali kuliko Lissu

Magufuli anewahi kutishia hata kuwapiga wanawake(Mashangazi), sijawahi kumsikia Lissu akitishia kutumia violence kwa mtu yeyote!
 
Huku ni kumdhalikisha rais wetu,kweli rais afanye mjadala na mtu mwenye faili pale milembe?/

Hiyo ni kazi ya madaktari na ndo maaana jamaa yenu huwa anabwabwaja lakini rais yuko kimya sana, hana muda wa kujibizana na watu wenye matatizo ya akili
 

Mkapa angeyasema haya akiwa madarakani tungemuelewa.

Sio asubiri kastaafu kazi zaidi ya miaka 23 baadaye na umri zaidi ya miaka 80 ndio anayasena haya.

Yeye na wengine/wenziwe wanakosa uungwana aliojaliwa Mzee Ruksa wa kukubali ukweli.

Kilicho mfanya Mkapa aandike kitabu ni kukoseshwa amani yeye na wenzake na kauli ya nchi hii tumechezewa sana na yako mambo ya hovyo mno tuliyo fanyaiwa. Sababu nyingine kasukumwa na watu wanaotaka Urais kupitia mfumo ule wa wanamtandao usio rasmi. Hakuna kingine zaidi ya haya, maslahi yao yameguswa na they had to find a solution to arrest the situation. Nasikia kitabu kingine kinaandaliwa huko kusini.

Wako wapuuzi wanaosema kuwa JPM naye alikuwa katika serikali za wawili hawa. Mimi nawaambia Daudi Mfalme alikuwa katika serikali ya Sauli Mfalme na bado aliwakomboa wana wa Israel na Yesu akawa mzao wake.

Kwa maana hii basi JPM amesave Masauli wawili wa Tanzania wengine hatuna shaka hata kidogo nchi hii itavuna mema kupitia kiongozi huyu mcha Mungu.
 
Hiyo haitakaa itokee, na Kama itatokea . Mdahalo uwe Kisukuma maana Magufuli hajui Kiswahili wala Kiingereza fasaha.
Hahaha halafu anapenda sana kutumia neno "unamfanizia" sijui huwa anamaanisha nini ila Membe amesema jana kuna mkutano utafanyika USA mwezi wa tisa ameshauri aende maana kule kuna marais kibao watakuwepo kwa hiyo anaua ndege wengi kwa jiwe moja ,ameongeza pia aende tu maana kuna wakalimani wapo tu kama issue ni kiingereza.
 

Sasa mbona chini ya utawala wake anatutangazia kuhusu ufisadi kisha anasamehe mafisadi na kuwapa tena vyeo (Mfano Andengenye)

Mbona hataki manunuzi yake ya bdege yakaguliwe na CAG?

Kazipeleka wapi Trillion zetu 1.5?

Kuna kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa utaratibu wa hovyo hadi michepuko kulamba bingo

Hamna kitu hapo ni msanii tu
 
Membe amefikisha ujumbe kidiplomasia.
 
THubUtUuuuu!
 
Umejiunga long sana JF kipindi cha members waliokuwa wanatoa nondo za ukweli lakini still haujapata chochote cha maana:-

Lissu hatozungumzia kwanini sijui kamera zimetolewa au vitu vinvyofanana na hivyo,vipaumbele vyake alishavitoa mkuu atajikita kwenye ilani ya chama:-

Kuna kitu kinaitwa utawala bora,kuongozwa kwa mujibu wa katiba,uhuru wa kutoa maoni,vyote hivyo vipo katika kipengele kimoja na kati ya uhuru wa kutoa maoni ndio maswala ya watu kupigwa risasi,kutupwa kwenye viroba,kuuliwa kwa waandishi,wanahabari ndipo yataingia tambua hiko ni kipengele kimoja tu.

Vipo vipengele vingi kama kupunguza VAT kutoka 18 mpaka 10 ,Kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ,elimu bure hadi form 4 ,etc mambo ni mengi sana!!
 
Wale ni hasi na chanya ni ngumu sana kusogeleana maana kila mmoja anataka awe chanya
 
Hata ukiweka kitanzi pembeni jiwe kamwe hatakubali mdahalo, hana uwezo wa kujadiliana na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…