OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
haaa haa kuna mwananchi anasema ..ataogopa..huyu raia inabidi atungiwe sheria kabla hajasema apewe kwanza kibali na DCOmbi la Lissu kwa Magufuli hili hapa
View attachment 1534304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaa haa kuna mwananchi anasema ..ataogopa..huyu raia inabidi atungiwe sheria kabla hajasema apewe kwanza kibali na DCOmbi la Lissu kwa Magufuli hili hapa
View attachment 1534304
Je??Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa hoja zao tuulize maswali yetu wakiwa pamoja kwenye ukumbi mmoja tupate mgombea ambaye ni cream ili wanachi tuchague Rais makini ambaye atatavusha kwenye umaskini tulionao na kuweka sera zinazotekelezeka kwa weledi na maarifa yaliyotukuka.
Nawasilisha.
View attachment 1527961
View attachment 1527962
View attachment 1527963
Haamini kuwa polisi na wote wanampuuza...Mtaongea lugha zote msimu huu, Lissu kawashika pabaya!
Rais Magufuli atapokuwa anaongelea kujenga SGR, Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power, masoko ya madini, kuingia uchumi wa kati, Bombardiers, hazina kujaa mafedha, kushusha kodi kwenye mishahara, kuongeza wigo wa ukusanyaji kodi, kuthibiti rushwa kwa kiasi kikubwa nchini, ujenzi wa viwanda, wakulima kupata being nzuri (mfano korosho Mtwara), kuhamia Dodoma (jambo lililoshindikana tangu za Mwl. Nyerere) na kadhalika na kadhalika akina Tundu Lissu wataongea nini? Hatuwezi kumdhalilisha Mgombea Wetu wa CCM kuingia kwenye mdahalo wa watu WADOGO!!!Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa hoja zao tuulize maswali yetu wakiwa pamoja kwenye ukumbi mmoja tupate mgombea ambaye ni cream ili wanachi tuchague Rais makini ambaye atatavusha kwenye umaskini tulionao na kuweka sera zinazotekelezeka kwa weledi na maarifa yaliyotukuka.
Nawasilisha.
View attachment 1527961
View attachment 1527962
View attachment 1527963
Usitegemee huyo yesu wa lugola kushiriki kwenye huo mdahalo maana ndiyo ATAJIZIKA yeye mwenyewe.
Lissu anasubiri kuapishwa!Haamini kuwa polisi na wote wanampuuza...
😆😆😆Yaani kuna mgombea mmoja mdahalo kwake ni msamiati, labda mmpeleke na greda!
Tume haijawahi kulazimisha uwepo wa mdaharo huru. Siasa za bongo zina ujinga mtupu ndani yake. 2015 ni Chadema waliokimbia mdaharo coz walijua mgombea wao hawezi kujieleza hata kwa dakika 10 tu, this time ndio mnajifanya mko moto na midaharo.
Kila chama kifanye kampeni kwa style yake
Magu Hana muda na midahalo anawaonyesha kwa vitendo tuMagufuli akimkimbia Lisu kwenye mdahalo huu atazidi kujichimbia kaburi la kukataliwa na wapiga kura.
Kwa makusudi kabisa Lisu ametegeshea Magufuli hili zigo la kushiriki mdahalo wa wazi ama kukataa.
Naliita zigo kwasabb Magufuli akikubali kushiriki ni MSALA kwake maana yuko poor Sana ktk kujenga hoja. Hivyo ataabika vibaya mno kwenye mdahalo huo.
Na akikataa pia ni MSALA. Maana itaonekana anamuogopa mtu mdogo kama Lisu. Mbali na umri hata kwenda shule Magufuli ana madarasa mengi kuliko Lisu (ana PhD) na ni rais.
Sasa watu watajiuliza iweje unamkimbia na kumuogopa mtu kama Lisu? Itampunguzia na kumshushia personality kwa wapiga kura.
My take:
Mwaka huu ccm mmelokoroga na mtalinywa. Hali yenu tete Sana.
A Sanity-Train has left these thugs a long time ago.Hehehe hi debate asije mtu akarusha ngumi bureee...
lakini TL aiitishe tu kwa kweli
Kila mtu awekwe kikaangoni...kutesa kwa zamu