Wewe msafi? Watoto gani wanao ambukizwa ushoga? Em kuweni serious hapa? Ni lini watu waliwafata watoto wawe mashoga? Vijana wa leo wenyewe mnajiona lijari mnafanya nini? Mnaburuzwa kila uchwao? Na kuishia kulia kwa keyboard.Ndugu mrangi hakuna kuwaacha na maisha yao, wanaambukiza watoto(vijana wa kesho).
Hakuna kuwapa amani waovu.
Mbona unapost mara mbili mbili? Vipi umekasirishwa sana?ni maoni tuuUsimpangie mtu Maisha aisee, aoe au asioe inamuumiza Nini mtu mwingine?
Jamani mnisamehe jamani maana mmenishambulia mnoo...mm nimetoa tuu maoni yangu uwiiiiiiHawa wanao oa wenyewe kila siku wana achika, km hoja ndio kuto oa au kuwa na mtoto basi ni hoja dhaifu. Labda kuwe na hoja nyingine.
Ishu ni dipuCalm down dear. Umeeleweka.
Once shoga akishasema hivi tu najua yote atakayosema ni story za kusadikika ,blah blah blah blah anapigwa pumbu sijui analipa.......Kumbe huna unalolijua wewe, sasa mie nakuambia hapa, Nina rafiki angu ni Bottom, baba yake anafanya kazi idara ya Ardhi, na mama yake ni Daktari, yeye mwenyewe anafanya biashara, couz aliacha kusoma, yeye ndio anawahonga mabasha, tena amepanga chumba maalumu tofauti na anapoishi huwa ndio anakutania na hao wanaume wake, hana shida kabisa, na anahonga balaa.
Hali ni mbaayaaaMtu aliyeshindwa kulea familia yake anajaribu kuharibu maisha ya wengine, Dudu baya meza anazotingisha atakuja mwaga vinywaji vya gharama sana, yeye aone anapendwa tu watu wanavyompigia kelele.
Ni kweli ila ni mbaya sana ikitokea kwenye familia.Hii movement kupambana nayo kazi sana
Ni kuwaacha na maisha yao waliyojichagulia
Ova
Inasikitisha sana ,Me kuwa GASHO ,kupelekewa MOTO si sawa maana hapo Mwanamke mmoja amekosa mume ,me kuwa GASHO means amefunga chain ya kizazi kwa upande wake.Ni mwili wake kwani Nini shida?
Amejibu vizuri.
Hata kama angefungua kesi Dudubaya asingekutwa na hatia sababu alitumia neno "Dimpoz ni chakula"
Huna unacho kijua, poleee.Once shoga akishasema hivi tu najua yote atakayosema ni story za kusadikika ,blah blah blah blah anapigwa pumbu sijui analipa.......
Nasema hivi ninyi wote mnaosukumwa tope uvivu wenu kupenda penda dezo ndiyo kumewaletea hilo balaa hakuna kingine
We nae n kocho tuuWe jamaa pamoja na kuwa mfuasi wa muziki unakua Lishamba kiasi hicho kuweza ku box artist kisa anatumia jina hilo kama artist card?
Dudu baya ni mjinga maana anasambaza kitu asicho jua. Infact mbona miaka anatamba hakuwa mnamuita Dimpoz katika muktadha huo?
Wabongo ni watu wajinga sana maana huwa wanafata mikumbo tu. Lakini pia wasanii na wao huwa wanapenda maisha ya kuigiza sana mpaka watu wanaanza kuwastukia
Sasa mtu akiamua kupigwa miti wewe unawashwa na nini?Hakuna maisha ya mwanaume kuamua kukubali kupigwa mpini eti kusema kaamua,ni tamaa hawawezi kukaza kutafuta kwa jasho ndiyo maana wenye jicho kali wanawastukia wanawapa favor mwisho wanawapasua ngoma.
Mwanaume hawezi kuchagua kupigwa miti huo ni uwongo.
Lazima kuzaa kumbe??Sasa kwanini hana mtoto
Mnaharibu taifa la kesho,hakuna kutafuna maneno.Wewe msafi? Watoto gani wanao ambukizwa ushoga? Em kuweni serious hapa? Ni lini watu waliwafata watoto wawe mashoga? Vijana wa leo wenyewe mnajiona lijari mnafanya nini? Mnaburuzwa kila uchwao? Na kuishia kulia kwa keyboard.
Kwanza nasemaje serikali na system iendelee kuwabagaza waja hadi basi.
Mxxxiiieeew
Thubutuu na hamuwezii.Mnaharibu taifa la kesho,hakuna kutafuna maneno.
Kuna mmoja hapa Dodoma miaka ya 1990s alitaka kuleta ufirauni wake,kilichompata mpaka leo kilimfanya awe mlokole mpaka leo hii.
Mashoga na wasagaji ni wa kupigwa vita popote kama tunavyopiga CCM vita.
Ommy ana mtoto mmoja wa kiume.Sasa kwanini hana mtoto