Naomba Ushahidi kiwa Uislam ulikuwepo kabla ya Muhamad.Uislamu ndiyo dini ya mwanzo duniani.Ilikuwepo kabla hata binadamu hawajaanza kuishi duniani.Na zaidi ukristo umeletwa na akina Marko na Yohana kwa mujibu wa maandiko ya biblia.Yesu mwenyewe ni Muislamu kama mitume waliotangulia.Nabii Muhammada s.a.w alipokuja alikuja kuhuisha tu baada ya watu kupotoka tangu alipoondoka nduguye Yesu a.s.
Ushahidi ni mwingi sana .Angalia Qur'an surat Fussilat aya ya 9-12. Mwenyezi Mungu baada ya kuziumba mbingu na ardhi na kukadiria viumbe vyake na mahitajio yake akasemaNaomba Ushahidi kiwa Uislam ulikuwepo kabla ya Muhamad.
NoTe:Ushahidi/Marejea uwe Source iliyokuwepo kabla ya Muhammad
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga. Rudia mstari wa mwisho wa ulichoandika.acha kujikanganya na apo Apo unakubali ukweli.Quran ni Biblia ilichakachuliwa Ili kuleta upinzani.quran Ni maandiko bandia .Uislamu ndiyo dini ya mwanzo duniani.Ilikuwepo kabla hata binadamu hawajaanza kuishi duniani.Na zaidi ukristo umeletwa na akina Marko na Yohana kwa mujibu wa maandiko ya biblia.Yesu mwenyewe ni Muislamu kama mitume waliotangulia.Nabii Muhammada s.a.w alipokuja alikuja kuhuisha tu baada ya watu kupotoka tangu alipoondoka nduguye Yesu a.s.
NoTe:Naomba ushahidi wa source iliyokuwepo kabla ya Muhammad.Ushahidi ni mwingi sana .Angalia Qur'an sutat Fussilat aya ya 9-12. Mwenyezi Mungu baada ya kuziumba mbingu na ardhi na kukadiria viumbe vyake na mahitajio yake akasema
Na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake... katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa hao wanaouliza. kisha akazielekea mbingu na zilikuwa moshi, basi akaziambia (mbingu) na ardhi "Njooni mkipenda msipende" vyote viwili vikasema tumekuja hali ya kuwa wenye utiifu. (41:9-12).
Nataraji unafahamu kuwa mbingu na ardhi vilitangulia zamani sana kuliko binadamu.Hizio mbingu na ardhi ni viumbe vilivyo na vinavyofuata Uislamu mpaka leo.Moja ya maana ya uislamu ni kutii na kunyenyekea kwa Mwenyezi Mungu bila kujadili na kuweka shuruti.Ndio maana mbingu zilipoitwa na Mwenyezi Mungu zikasema tumekuja hali ya kuwa wenye utiifu.
Hapo utaona kuwa uislamu upo kabla ya kuumbwa watu,Ukija kwa binadamu wa mwanzo Adam a.s hali ni hiyo hiyo inaendelea mpaka kwa Yesu a.s na mwishowe nabii Muhammada s.a.w.
Mkuu wala si muda mrefu umebaki, na kabla ya Hilo kutokea lazima kwanza makao makuu ya papa yashift kutoka vatcan kwenda Jerusalem.Haya si kwamba ni mtu anaota anaandika,ni lazima yatimie kikamilifu.Na yako ktk hatua nzuri kabisa.japo pengine mm na ww hatutakuwa hai.
Na inaonyesha Pope wa sasa ndiye pope pekee kutokea kwa ma Jesuit .Aliandaliwa,sambamba km ambavyo kina Kissinger walivyomwandaa Obama.Na Obama na Francis walifanya kazi nzuri ya NWO.Kwa sasa ilikuwa Ni lazima Trump aondoke aliwachelewesha sana.Joe ni mwanamduara.....so......Mimi nimechagua kuelewa kimoja. Jesuits ndio mainjinia wa ishu nzima. Lengo ni kumfanya papa atawale kutokea hekalu la Suleman.
Na inaonyesha Pope wa sasa ndiye pope pekee kutokea kwa ma Jesuit .Aliandaliwa,sambamba km ambavyo kina Kissinger walivyomwandaa Obama.Na Obama na Francis walifanya kazi nzuri ya NWO.Kwa sasa ilikuwa Ni lazima Trump aondoke aliwachelewesha sana.Joe ni mwanamduara.....so......
Nimekupa ushahidi ulioutaka halafu unaukataa.Muhimu ulitaka nikupe ushahidi na niliokupa naona umekuzidi kimo na hukuutarajia.NoTe:Naomba ushahidi wa source iliyokuwepo kabla ya Muhammad.
Wewe unanipa ushahidi wa kitabu kilichokuja Baada ya Muhammad.
Leo nikiandika kitabu kuwa Muhamad alikuwa CCM na CCM imekuwepo kabla ya dunia na CCM ndiyo waliliambia jua liwe linachomoza kila siku...hicho kitabu ndo kitakuwa ni ushahidi kuwa Muhamad alikuwa CCM kisa jua linachomoza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenipa ushahidi ambao sijautaka.Nimekupa ushahidi ulioutaka halafu unaukataa.Muhimu ulitaka nikupe ushahidi na niliokupa naona umekuzidi kimo na hukuutarajia.
Sasa nikuulize hiyo source unayotaka unataka iwe katika umbile gani ?.
Ushahidi ni mwingi sana .Angalia Qur'an surat Fussilat aya ya 9-12. Mwenyezi Mungu baada ya kuziumba mbingu na ardhi na kukadiria viumbe vyake na mahitajio yake akasema
Na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake... katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa hao wanaouliza. kisha akazielekea mbingu na zilikuwa moshi, basi akaziambia (mbingu) na ardhi "Njooni mkipenda msipende" vyote viwili vikasema tumekuja hali ya kuwa wenye utiifu. (41:9-12).
Nataraji unafahamu kuwa mbingu na ardhi vilitangulia zamani sana kuliko binadamu.Hizio mbingu na ardhi ni viumbe vilivyo na vinavyofuata Uislamu mpaka leo.Moja ya maana ya uislamu ni kutii na kunyenyekea kwa Mwenyezi Mungu bila kujadili na kuweka shuruti.Ndio maana mbingu zilipoitwa na Mwenyezi Mungu zikasema tumekuja hali ya kuwa wenye utiifu.
Hapo utaona kuwa uislamu upo kabla ya kuumbwa watu,Ukija kwa binadamu wa mwanzo Adam a.s hali ni hiyo hiyo inaendelea mpaka kwa Yesu a.s na mwishowe nabii Muhammada s.a.w.
Hiyo tafsiri ya 16:14 haiko hivyo. Vyovyote iwavyo kwa sababu huiamini Qur'an haina haja kuendelea na ufafanuzi wake. Kwa mwenye kuamini maandishi basi hawezi kupata kasoro na kiichomo humo.Kwa upande wako tatizo la kutumia maandishi ndio kubwa zaidi kwani Biblia ndio iko mbali sana na ukweli na machache sana yaliyobaki yanayoaminika kutoka kwa Mungu.Furthermore hicho kitabu sio reliable source maana kinajicontradict Chenyewe
Hapohapo kinakuambia Muhammad alikuwa muislam wa kwanza hapo hapo kinakuambia Mussa alikuwa muislam wa kwanza
Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina. 16:14
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu 6:163
Na nimeamrishwa niwe wa kwanza kwa Waislamu.39:11
na Musa akaanguka chini amezimia. Alipo zindukana alisema: Subhanaka, Umetakasika! Natubu kwako, na mimi ni wa kwanza wa Waumini-7:143
Ndomaana nikaweka post mbili #90 na #91Hiyo tafsiri ya 16:14 haiko hivyo. Vyovyote iwavyo kwa sababu huiamini Qur'an haina haja kuendelea na ufafanuzi wake. Kwa mwenye kuamini maandishi basi hawezi kupata kasoro na kiichomo humo.Kwa upande wako tatizo la kutumia maandishi ndio kubwa zaidi kwani Biblia ndio iko mbali sana na ukweli na machache sana yaliyobaki yanayoaminika kutoka kwa Mungu.
Katika hali hiyo Itabidi sasa tutumie namna nyengine ili uweze kuamini kuwa Uislamu ndio dini ya mwanzo na inayoridhiwa na Mwenyezi Mungu mpaka mwisho wa Ulimwengu .Nafsi yako kuanzia juu mpaka chini ina viungo ambavyo vimejisilimisha kwa Mwenyezi Mungu na huna uwezo wa kuvipa amri kinyume na hivyo.Akili yako tu ndiyo inayokupa kiburi cha kumuasi Mungu.Mambo yanayotokea kwako wewe ndiyo hayo hayo yaliyotokea kwa binadamu wa mwanzo na mitume wote.Jua na sayari zake na vilivyomo duniani vyote vinatii amri ya Mwenyezi Mungu na kama isingekuwa hivyo basi kusingekuwa na maisha.Atomi za madini yaliyopo duniani na yale tunayoyaona nje ya Solar System yote yapo chini ya Uislamu.
Kama utapinga hilo onesha ni jinsi gani Ukristo utajieleza kuwa umeutangulia Uislamu na bila kutumia maandishi ya aina yoyote.
kuwepo kwa Viungo,Atom,Nyota hakuhakikishi uislam ulikuwepo kabla ya Muhamad maana hayo yote kuhusu hata uwepo wa huyo Mungu umeyatoa kwenye kitabu kilichokuja baada ya muhamad.Hiyo tafsiri ya 16:14 haiko hivyo. Vyovyote iwavyo kwa sababu huiamini Qur'an haina haja kuendelea na ufafanuzi wake. Kwa mwenye kuamini maandishi basi hawezi kupata kasoro na kiichomo humo.Kwa upande wako tatizo la kutumia maandishi ndio kubwa zaidi kwani Biblia ndio iko mbali sana na ukweli na machache sana yaliyobaki yanayoaminika kutoka kwa Mungu.
Katika hali hiyo Itabidi sasa tutumie namna nyengine ili uweze kuamini kuwa Uislamu ndio dini ya mwanzo na inayoridhiwa na Mwenyezi Mungu mpaka mwisho wa Ulimwengu .Nafsi yako kuanzia juu mpaka chini ina viungo ambavyo vimejisilimisha kwa Mwenyezi Mungu na huna uwezo wa kuvipa amri kinyume na hivyo.Akili yako tu ndiyo inayokupa kiburi cha kumuasi Mungu.Mambo yanayotokea kwako wewe ndiyo hayo hayo yaliyotokea kwa binadamu wa mwanzo na mitume wote.Jua na sayari zake na vilivyomo duniani vyote vinatii amri ya Mwenyezi Mungu na kama isingekuwa hivyo basi kusingekuwa na maisha.Atomi za madini yaliyopo duniani na yale tunayoyaona nje ya Solar System yote yapo chini ya Uislamu.
Kama utapinga hilo onesha ni jinsi gani Ukristo utajieleza kuwa umeutangulia Uislamu na bila kutumia maandishi ya aina yoyote.
Wafilisti! Kibiblia eneo lao lilijumlisha miji mitano:Ashdodi,Gaza,Ekron,Gathi na Ashkeloni,(1Samweli6:17-18)Wapalestina warudishe maeneo ya watu waende kwao maana hayo ni maeneo ya islael tangu enzi za ibrahimu,maana kihistoria hapo walikuwepo wahiti,waamori,wahivi na baadae wafilisti.je wapalestina ni akina nani miongoni mwao?
Habari za kitabu chako na Ccm na Nyerere haiendani kabisa na nilichokiandika. Kumbuka mimi sina tatizo na Qur'an lakini baada kukuona wewe hujatosheka nacho nikaiwacha pembeni na nikaamua kutumia maelezo mengine kuthibitisha Uislamu kuwa ni dini kabla ya Muhammad na mitume waliomtangulia. Inakuwaje tena unarudia mada hiyo hiyo kuwa habari zote hizo nimezipata kupitia Qur'an na ndipo ukajaribu kutunga kitabu cha ccm.kuwepo kwa Viungo,Atom,Nyota hakuhakikishi uislam ulikuwepo kabla ya Muhamad maana hayo yote kuhusu hata uwepo wa huyo Mungu umeyatoa kwenye kitabu kilichokuja baada ya muhamad.
Mfano: mimi nikiandika leo kitabu nika'claim kuwa Ccm ilikuwepo kabla ya nyerere na kusema wakoloni walikuwa CCM,CCm ndiyo walitengeneza kiswahili, walitengeneza mipaka ya nchi kwahiyo huo ni Ushahidi kuwa Ccm ilikuwepo kabla ya Nyerere kwa maana haya yalifanyika kabla ya Nyerere.
Sasa msomi lazima apinge kitabu Changu na atataka ushahidi mwingine ambao huo ushahidi ulikuwepo kabla ya Nyerere ukiashiria CCm ilikuwepo,Either Maandishi kabla ya Nyerere yanayoizungumzia CCm.
Na mimi siwezi kutetea kitabu Changu kwa kusema kwasababu Mipaka ya nchi bado ipo na kiswahili kinatumika basi Ccm ilikuwepo kabla ya Nyerere.
Ni sawa nawewe unavyosema kwasababu Atom na Nyota na viungo vya mwili blah blah blah......
Huyo mwenyezi Mungu wako na hadith zake zimekuja baada ya Muhamad sasa
Ushahidi naotaka hata uwe wa kimaandishi lakini yawe maandishi yaliyokuwepo kabla ya Muhamad
-Nasubiri
Hizo tafsiri tumechukua kutoka lugha ambayo si yetu.Qur'an iliyokuja kwa lugha ya Kiarabu haiitafsiriwi neno kwa neno peke yake lazima ipatikane na maana ambapo hapo ndipo hadithi za Mtume s.a.w hutumika na kama haikuja kwa sura hiyo kuna utaalamu wa ziada hutumika na mtu kama wewe huoni ndani.Furthermore hicho kitabu sio reliable source maana kinajicontradict Chenyewe
Hapohapo kinakuambia Muhammad alikuwa muislam wa kwanza hapo hapo kinakuambia Mussa alikuwa muislam wa kwanza
Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina. 16:14
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu 6:163
Na nimeamrishwa niwe wa kwanza kwa Waislamu.39:11
na Musa akaanguka chini amezimia. Alipo zindukana alisema: Subhanaka, Umetakasika! Natubu kwako, na mimi ni wa kwanza wa Waumini-7:143
Abdallah jaribu kuelewa...huyo Mungu unayemsema mimi simjui na wewe umemjua kupitia Quran kwahiyo kungekuwa na kitabu kinamuongelea huyo Allah kabla ya Muhammad ningekuelewa.Habari za kitabu chako na Ccm na Nyerere haiendani kabisa na nilichokiandika. Kumbuka mimi sina tatizo na Qur'an lakini baada kukuona wewe hujatosheka nacho nikaiwacha pembeni na nikaamua kutumia maelezo mengine kuthibitisha Uislamu kuwa ni dini kabla ya Muhammad na mitume waliomtangulia. Inakuwaje tena unarudia mada hiyo hiyo kuwa habari zote hizo nimezipata kupitia Qur'an na ndipo ukajaribu kutunga kitabu cha ccm.
Nikuulize tena,wewe mwenyewe unajionaje nafsi yako .Unajiona kama unajiendesha mwenyewe au unafuata maamrisho ya aliyemuumba Yesu na aliyeteremsha Qur'an..
Mzee acha zile danadana za kiarabu sijui na Hadith...acha kupinga kitu bila kuelezea na kuishia kusema kuna kiarabu na kifaransa.Hizo tafsiri tumechukua kutoka lugha ambayo si yetu.Qur'an iliyokuja kwa lugha ya Kiarabu haiitafsiriwi neno kwa neno peke yake lazima ipatikane na maana ambapo hapo ndipo hadithi za Mtume s.a.w hutumika na kama haikuja kwa sura hiyo kuna utaalamu wa ziada hutumika na mtu kama wewe huoni ndani.
Hivyo Mtume Muhammad anaposema yeye ni muislamu wa mwanzo haimaanishi hakukuwa na muislamu kabla yake.Tutoke huko tuje katika hali za kawaida ambapo una watoto kadhaa wa kike na wa kiume kila mmoja alipokuwa mdogo akakwambia baba mimi ndiye mwanao kipenzi na wewe ukamuitikia kuwa sawa na hiyo ikarekodiwa.Hapo baadae akatokea mtu akasimulia matamshi ya wanao,jee kuna mtu atakanusha kwamba fulani ulikuwa humpendi?.
Iwapo Adam a.s ambaye ni wa mwanzo alikuwa muislamu,Musa a.s alikuwa muislamu na alijitaja kuwa ni wa mwanzo ,Issa (Yesu) a.s naye alisema hivyo hivyo na hatimae Muhammad s.a.w akasema kama waliomtangulia.Ukiwacha undani wa maana walizokusudia kulingana na tukio ,kwa matamshi yao pekee Jee nani ndiye muislamu wa mwanzo kuliko mwenzake.
Wewe ni kichwa ngumu na kama unaingia kanisani unafuata kitu kingine tofauti na kuabudu kwa sababu wewe utakuwa ni mpagani.Abdallah jaribu kuelewa...huyo Mungu unayemsema mimi simjui na wewe umemjua kupitia Quran kwahiyo kungekuwa na kitabu kinamuongelea huyo Allah kabla ya Muhammad ningekuelewa.
Dini ni imani za watu usifosi kusema matako yako ni maislam kisa yanafata sheria fulani
Sasa kama dini ni imani za watu Leta Ushahidi kuwa huyo Mungu wako watu walimjua kabla ya Muhammad.
Na huo ushahidi uwe kwenye source iliyokuwepo kabla ya Muhammad
Huelewi nini Abdallah?
-Nasubiri