Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

Huo ni umbea wako
Wa kutaka uungwe mkono na wengi

Unajaribu kubadilisha usiku uwe mchana na ss tuamini hivyo!

Hayo uliyoongea ni fikira zako zimekutuma huko lkn sio In general!
Toa hoja mzee.
 
Mtu yeyote asiyeona kwamba katiba yetu ni mbovu mno na ndio inayoruhusu mikataba mibovu huyo mtu ni punguani.
Shughulikieni kwanza umoja kwenye mavyama yenu pumbavu wewe!!
 
Shughulikieni kwanza umoja kwenye mavyama yenu pumbavu wewe!!
Hasira ya nini dunduka? Nimesoma comment hadi nimecheka..unajipa pressure bure kisa kada hapa kinachojadiliwa maslahi mapana ya mama Tanzania.
 
Sauti imekata ndio maana kamtuma ROSTAM aongee kwa niaba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…