Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
LGBTQIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni umbea wakoKwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki.
Lakini hii yaweza kumaanisha nini?
1. Kwamba ameguswa na yanayoendelea kuhusu bandari
2. Hakutegemea yanayoendelea kufika mbali hivyo
3. Ni dadili ya kusutwa dhamiri
4. Anahisi kupoteza uungwaji mkono na heshima aliyojijengea (loss of trust).
5. Amekuwa kwenye shinikizo (stress) kubwa kipindi hiki
6. Amegundua kuwa kumbe watanzania wanaweza kuamua kufuatilia mambo yao, kuyaelewa vizuri na hata kuyakomalia kwa hoja.
7. Amekuwa defensive na mwenye mipasho kinyume na tunavyomjua.
Ama kwa hakika hiki ni kipindi kigumu kwa rais wetu.
Sasa;
Anapaswa kuwa mkweli kwa nafsi yake na kwa nchi yake.
Anapaswa kuruhusu mchakato wa wazi na wa kizalendo juu ya bandari zetu.
Anapaswa kuepuka wasaidizi wake wanaomsifia kupita kiasi na kumshauri kinafiki.
Tunamwomba rais wetu asibweteke na kuanza siasa za kibabe kama anavyoshauriwa na wanafiki wengi waliomzunguka kwani mkakati huu utakuwa na madhara makubwa kwake na kwa wananchi.
NB: Suala la kupuuzia marekebisho ya katiba litamletea fedheha kubwa zaidi siku zijazo.
Yukoje makini ?ulimi uliteleza lakini huyu jamaa yuko vzr kitaaluma
Hilo la ofisi ni kweli. Mimi binafsi nina ushahidi. Nimemwandikia Rais barua hiyo hiyo mara 2 sijawahi kupata barua ya kukiri kuipokea hata kutoka kwa wasaidizi wake mpaka kesho. Sidhani kama Ofisi ya Rais inajua kuwa mawasiliano ya kiserikali yanafanywa kwa maandishi na siyo kupitia sherehe na majukwaani! Mwenyezi Mungu Atusaidie siku moja matatizo ya watu binafsi katika ngazi ya Rais na siyo biashara yaanze kutiliwa maanani.Niliwahi comment huko nyuma, mama Samia takes everything for granted.
Anawaamini sana wasaidizi wake.
Hakai ofisini kuhoji kama wako makini.
Kila siku yuko huku yuko kule, anafungua sherehe hii na ile.
Niliwahi kujiuliza, NANI ANAFANYA KAZI ZAKE OFISINI?
Suala la bandari is a failure of checks katika the presidential office.
Ingawaje hawezi kulaumiwa kwa asilimia 100 Rais, kwa vile Katibu Mkuu ofisi ya Rais na watendaji wengine, wapo.
Lakini uwajibikaji katika hili linamponza Rais moja kwa moja.
Rais aitupie jicho ofisi yake na kuhoji kwa nini limetokea.
Asante mkuu kwa ushuhuda.Hilo la ofisi ni kweli. Mimi binafsi nina ushahidi. Nimemwandikia Rais barua hiyo hiyo mara 2 sijawahi kupata barua ya kukiri kuipokea hata kutoka kwa wasaidizi wake mpaka kesho. Sidhani kama Ofisi ya Rais inajua kuwa mawasiliano ya kiserikali yanafanywa kwa maandishi na siyo kupitia sherehe na majukwaani! Mwenyezi Mungu Atusaidie siku moja matatizo ya watu binafsi katika ngazi ya Rais na siyo biashara yaanze kutiliwa maanani.
Jambo kubwa hapo ni usaliti wa baadhi ya Wasaidizi wake.Wanamshauri vibaya na wengine hawamtakii mema ndiyo maana wamevujisha hata mkataba wenyewe.Umesahau kuweka hili na ndilo linamnyima usingizi.Kwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki.
Lakini hii yaweza kumaanisha nini?
1. Kwamba ameguswa na yanayoendelea kuhusu bandari
2. Hakutegemea yanayoendelea kufika mbali hivyo
3. Ni dadili ya kusutwa dhamiri
4. Anahisi kupoteza uungwaji mkono na heshima aliyojijengea (loss of trust).
5. Amekuwa kwenye shinikizo (stress) kubwa kipindi hiki
6. Amegundua kuwa kumbe watanzania wanaweza kuamua kufuatilia mambo yao, kuyaelewa vizuri na hata kuyakomalia kwa hoja.
7. Amekuwa defensive na mwenye mipasho kinyume na tunavyomjua.
Ama kwa hakika hiki ni kipindi kigumu kwa rais wetu.
Sasa;
Anapaswa kuwa mkweli kwa nafsi yake na kwa nchi yake.
Anapaswa kuruhusu mchakato wa wazi na wa kizalendo juu ya bandari zetu.
Anapaswa kuepuka wasaidizi wake wanaomsifia kupita kiasi na kumshauri kinafiki.
Tunamwomba rais wetu asibweteke na kuanza siasa za kibabe kama anavyoshauriwa na wanafiki wengi waliomzunguka kwani mkakati huu utakuwa na madhara makubwa kwake na kwa wananchi.
NB: Suala la kupuuzia marekebisho ya katiba litamletea fedheha kubwa zaidi siku zijazo.
Ule nadhani wameshtukia kuutoa maana waliahidi ungewasilishwa katika vikao vya Bunge la sasa ambavyo vinaisha wiki hili.Bado ule wa gesi ya mtwara
Anafungua nchiEti "mama anaupiga mwingi..!!" You can imagine nchi ilivyo na viumbe wa ajabu hii..
Kuhusu Kabudi nitatetea hadi nishati yangu ya mwisho iondoke.Huyo ni hazina kubwa mno.Amefanya kazi ya kutukuka sana kwenye sheria za madini.Kabudi kwenye hiyo cabinet ya Samia unamlinganisha na nani? Cabinet yote walio karibu na Rais vyote ni viazi vitupu.
Issue ya bandari haiwezi Kuwa sawa kwa namna yoyote ile.Issue ya Bandari inaweza kuwa sawa ila naona walioko nyuma yake wakipush ajenda inatiamashaja sana, nguvu inayotumika ni kubwa sana, mwenye akili anatefikiria sawasawa lazima atadoubt.
Wala hakuna shida yoyote itampata. Watanzania hawajali, hawajui haki zao na huwa ni watu wa "hewala".Suala la kupuuzia marekebisho ya katiba litamletea fedheha kubwa zaidi siku zijazo.
Aisee hata mimi aliniongezea hasira kinoma, kuna tension kubwa sana kuhusu hili suala la bandari.ccm hvyo sana juzi yule mbeba mikoba ya uwizi pale bungeni kabla hajaanza kusoma matrilioni yake yapitishwe akaanza kwakusema mama tumpe maua yake yaani nilimwona kama kanjibai tu
Hata ugomvi hautaamriwa?Wala hakuna shida yoyote itampata. Watanzania hawajali, hawajui haki zao na huwa ni watu wa "hewala".
Hata akiamua kuua wapinzani wote kukaa vipindi 6 madarakani hakuna wa kumgusa.
Ni kweli Kabisa juzi nilimuona pale Meru ...ana msongo mawazo!
Sidhani kama aliJua anachofqnya!
Kiashiria kibaya Kabisa Kwa CCM ni Kauli ya Jaji Warioba!
Huyu Mzee huwa yupo making sana kuikosoa CCM .Ukiona Warioba anapinga kitu Cha CCM hapo ogopa!
Inawezekana hata Kauli ya Malechela juzi ilikuwa ni kupooza hali ya hewa!.Bahati mbaya sana Malechela siku hizi haeleweki ,nafikiri uzee umemuathiri ..sidhani hata kamam alisoma Yale makubalino!
Nadhani ameyasikia mawazo yote yaliyotelewa na amesikia watu wakianza kudai kugawana mbao na wengine kudai Tanganyika. Hivi Jusa kweli mbao zikigawanywa anadhani watatosha huko kwao kwani itabidi kila mtu akae kwao tuwe majirani kama anavyodai. Haya nasubiri mudaKwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki.
Lakini hii yaweza kumaanisha nini?
1. Kwamba ameguswa na yanayoendelea kuhusu bandari
2. Hakutegemea yanayoendelea kufika mbali hivyo
3. Ni dadili ya kusutwa dhamiri
4. Anahisi kupoteza uungwaji mkono na heshima aliyojijengea (loss of trust).
5. Amekuwa kwenye shinikizo (stress) kubwa kipindi hiki
6. Amegundua kuwa kumbe watanzania wanaweza kuamua kufuatilia mambo yao, kuyaelewa vizuri na hata kuyakomalia kwa hoja.
7. Amekuwa defensive na mwenye mipasho kinyume na tunavyomjua.
Ama kwa hakika hiki ni kipindi kigumu kwa rais wetu.
Sasa;
Anapaswa kuwa mkweli kwa nafsi yake na kwa nchi yake.
Anapaswa kuruhusu mchakato wa wazi na wa kizalendo juu ya bandari zetu.
Anapaswa kuepuka wasaidizi wake wanaomsifia kupita kiasi na kumshauri kinafiki.
Tunamwomba rais wetu asibweteke na kuanza siasa za kibabe kama anavyoshauriwa na wanafiki wengi waliomzunguka kwani mkakati huu utakuwa na madhara makubwa kwake na kwa wananchi.
NB: Suala la kupuuzia marekebisho ya katiba litamletea fedheha kubwa zaidi siku zijazo.
Mengi uliyosema nimeyapenda.Niseme tu kwamba kama binadamu ana haki ya kuona aibu.Kiukweli swala la Bandari limekuwaKwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki.