Hapana, si mtaalamu hivyo nimeogopa kudhuru!Wakati wa utafiti ulikuwa unatoa na ushauri pia...?
10 mimi mwenyewe, kati yao 7 kutoka mji ulioendelea kuliko yote hapa tz......hivyo suala la kuoga msiliseme kabisaaa!. ukiacha hilo, nimechukua maoni kutoka kwa wenzangu kadhaa kutoka maeneo tofauti, kiujanja kabisa, na wote wameonekana kulalamikia hali hiyo!Umefanya utafit kwa wadada wangapi
Dawa za kufinya?!!!!😳😳😳Inategemea na aina ya Wanawake unaokutana nao..
Ila kwaa upande Mwingine nahisi matumiz ya dawa za kufinya Uke.. zimewaletea shida hiy Wanawake wengi
Pole, kama ulikuwa unalificha hilo tatizo huko ndani kwako basi muungwana mimi nimekusaidia kulisema ili usaidikike.Mkuu au ndo virusi vya covid 12
inawezekana ni upungufu tu wa ujuzi wa matumizi ya maneno sahihi......niliouita 'utafiti' ulilenga kujiridhisha tu uwepo wa ongezeko la hilo tatizo, si kutafuta dawa au kujua visababishi. hayo tutayajua humu, wadau wajuzi wakiamua!Unasema umefanya utafiti hapo hapo unatuuliza swali,
Tushike lipi?
wawili kati yao walikuwa aina hiyo ya kina sister merry, kwa hakika kabisa!Epuka kuchukuwa wanawake wa mafungu..
Chukuwa akina sister merry, hutojutia muda wako.
mawazo mazuri sana haya mkuu. yanaibua utafiti safi kabisa!!Maoni yangu ni haya;
Makungwi uchwara; kumeibuka wimbi la makungwi wenye products mbalimbali za kubana ,sijui kukata harufu mtu unaweka ukoko wa ugali, vanilla , limao , asali sijui pipi kifua wadada wengi hutumia na kuishia kupata magonjwa ambayo hata hayajulikani.
Mavazi ; unakuta mdada anashinda nguo za ndani kutwa nzima mchana jeans,tyt na kufuli usiku analala hivyo hivyo.
Usafi;unapoenda washroom unahitajika ujisafishe usipojisafisha harufu itajitokeza.
Magonjwa; either fungus or uti
Vyakula; unahijika kunywa maji sana ili kusafisha kibofu lakin unaweza kuta mchana mzima mtu anakunywa glass moja na soda soda nyingi.
🤣🤣🤣Nadhani kwa asilimia 100 unakuta kipochi manyoya kimekuwa overused to the point kinatepeta na kutoa fukuto.....Ila kwa wadada walio tulia sidhani kama wana experience hiyo kitu.
alaa, kumbe. elimu na umaskini itakuwa vinahusika hapa....labda vina gharama sana!Wazungu wao wanatumia vitu kama vagisil kusafisha hayo maeneo. Wadada Tz hawatumii. Na hawajui ni muhimu kufanya hivyo
Wanawake hawajui hizo sehemu HAZITAKIWI KUTOA HARUFU KABISA. Kwa wazungu, wanatumia hizo regularly kusafisha hayo maeneo. Ila kwa wadada tz, hata deodorant tu yenyewe hawaijui. Kwa ufupi ni umaskini wa hela na elimu