Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Sasa hapa utawafanya madada wadangaji kukosa soko kwani wenyewe wanadai wanaume wao wanapenda ile harufu ya uozo, kunuka mdomo, na shombo la mavi...kama hawanuki wanakosa market. Kwa kweli kuna wanume wana roho ngumu.
Nilifikiri ni stori kuhusu uwepo wa wanaume wenye 'ulemavu' huo wa kupenda hayo mambo, kumbe wapo?!! hatari sana
 
K zote zinanuka ila harufu zinatofautiana. Unapata zile unaweza vumilia (bearable ) na zile lazima umwambie akaoge kwanza, na zile ambazo zinafukuza mpaka inzi achilia mbali wewe mgegedaji. Jamani wanawake tunawapenda, imarisheni usafi.
 
Hili ni tatizo wadau! seriously, ni tatizo. Sijajua shida ni nini kati ya vyakula, mavazi, mapambo, vinywaji au mabadiliko ya tabia nchi!
Khatari! Lazima wadau waje na jibu sahihi maana umegusa sababu zote ambazo pengine zinaweza kusababisha hali hii katika jamii.
 
K zote zinanuka ila harufu zinatofautiana. Unapata zile unaweza vumilia (bearable ) na zile lazima umwambie akaoge kwanza, na zile ambazo zinafukuza mpaka inzi achilia mbali wewe mgegedaji. Jamani wanawake tunawapenda, imarisheni usafi.
Du, mkuu!!
 
Huwa unawanusa mademu kabla hujawanyandua?
 
dah!! inabidi wabadilike kwakweli
Mademu wa kibongo sijuwi, unakuta hata na watu wazima pia wako hivyo....yaani toka asubuhi kashinda kavaa khanga tu bila chupi na hajajichamba sehemu zote za siri na hata mswaki hajapiga ila yuko busy kutizama wapitao njia na kuteta wenzao.
 

Jina la dawa tafadhali! Maana tunakutana na haya masaibu sana
 
Hiyo kitu ni kweli inatokea kwa mademu wachaffu wasiopenda kujiswafi. Demu msafi huwezi kumkuta ana harufu za ajabu kama ng'onda.
Uking'oa mrembo ukaona ana kigugumizi kutia maji mwilini mwake ujue ndo hao dizaini ya kunuka. au mwingine unakuta anajipiga paspoti tu ogopa sana dem dizaini hizi. Dem anatakiwa awe rafiki wa maji ndo utamfuraia.
 
Ilo tatizo nimekutana nalo kwa wanawake wengi sana nilioDate nao . Na ni warembo wasafi lakin dah wataalamu wanasema ni mifumo ya chakula, na vibwagizo vya ukeni.

Mara fangasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…