Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Percentage ndogo sana hii mkuu. Sidhani hata kama inafika 1%. Nakubaliana na Esther hapo juu. Ukishaanza biashara ya kuchanganya mb% ni very easy kupata infections. Iko ivyo yani. K ya mwanamke ni kiungo very sacred. Mungu aliiumba kwa upekee mno. Lakini inapoanza kutumika kinyume na mapenzi yake, tena kwa karne hii ambayo kuna many sexual infections, si rahisi kutoboa.

Kila siku anaingia huyu wa vikoba, anatoka huyu wa gym, anaingia huyu sponsor, anatoka huyu mwanajeshi...utaacha kunuka. Na K yake ni maji tu, mambo ya kuchokonoa ndo tunaharibu flora yake.
Upo sahihi mkuu,
 
Back
Top Bottom