Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Shida yetu sio lissu, awe mtawala, tunachotaka haki itendeke, ili atakaeingia madarakani awe kaingia kihalali.Tatizo siyo nyie ni umri Unasumbua.
Wote CCM na NRNE lengo lao kuu ni kushika madaraka. Kila mmoja akipiga hesabu anamuona mwenzie atapata wapi. Akina TAL wanaamini kama mamlaka ya Samia yakiondoshwa na uchaguzi ukawa wa huru na haki, watatoboa. Je, wakiingia ikulu nani atafaidi kwa keki ya Taifa? Jibu ni wao na watoto wao.
CCM wanaamini kuwa bila nguvu za kikatiba alizo nazo Samia sasa Hivi, uchaguzi ukiwa huru na haki, hawatoboi. Ambao ni Ukweli mtupu.
Je, sisi wapigakura watatuachaje. Kwa kuwa TAL hata siku moja hajawahi sema ni nini atatufanyia akiingia ikulu ili sisi tuangalie vikwazo vya yeye kuingia ikulu ambayo ni NRNE, ili tufaidi. CCM wao wapo ikulu muda wote huu ila hakuna mabadiliko. Tupo njia panda. Suluhisho ni kupigania mgombea binafsi si chama
Hapo ndipo tunatofautiana. Kwa upande wangu kiu ni kupata mtu ambaye kwa dhati ya moyo wake ni kuendeleza wananchi hapo ndipo umuhimu wa reforms.Shida yetu sio lissu, awe mtawala, tunachotaka haki itendeke, ili atakaeingia madarakani awe kaingia kihalali.
Siasa huijui wewe ndio maana huelewi uhusiano uliopo baina ya kubadilisha mfumo wa utawala na maendeleo kwa jamii, sera na mifumo ya chama ndiyo inayo sababisha leo hii mradi wa mil 500 unajengwa kwa bil.1 napesa zingine zinaingia mfukoni na hakuna wa kumuwajibisha mwenzie kwa vile wote wanafanana tabia, wakati hayo yakiendelea kuna kituo cha afya hakina hata utrasound ya 10mil kiasi cha kusababisha wananchi kufuata huduma hiyo over 100km na kuna mtu analindwa na sera za chama kakwapua 500mil na kikundi chake kilicho jificha kwenye kofia ya unana CCMTatizo siyo nyie ni umri Unasumbua.
Wote CCM na NRNE lengo lao kuu ni kushika madaraka. Kila mmoja akipiga hesabu anamuona mwenzie atapata wapi. Akina TAL wanaamini kama mamlaka ya Samia yakiondoshwa na uchaguzi ukawa wa huru na haki, watatoboa. Je, wakiingia ikulu nani atafaidi kwa keki ya Taifa? Jibu ni wao na watoto wao.
CCM wanaamini kuwa bila nguvu za kikatiba alizo nazo Samia sasa Hivi, uchaguzi ukiwa huru na haki, hawatoboi. Ambao ni Ukweli mtupu.
Je, sisi wapigakura watatuachaje. Kwa kuwa TAL hata siku moja hajawahi sema ni nini atatufanyia akiingia ikulu ili sisi tuangalie vikwazo vya yeye kuingia ikulu ambayo ni NRNE, ili tufaidi. CCM wao wapo ikulu muda wote huu ila hakuna mabadiliko. Tupo njia panda. Suluhisho ni kupigania mgombea binafsi si chama
Haki gani? Haki ya kuropoka, kutukana na kuhatarisha umoja wa Taifa? Ndivyo mnavyokaririshwa na mwenzako mange?Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo maslahi ya wananchi yakienda ndivyo sivyo. Hii imekuwa hata kwenye mataifa makubwa kama Marekani, Ulaya na sehemu nyingi za Dunia.
Lakini kwenye hii ardhi ya Nyerere mambo uwa ni tofauti kabisa, wasanii wengi hawasimami na raia au wananchi bali wao usimama na serikali au wanasiasa linapokuja jambo linalohusu mustakabali wa taifa au maslahi ya wananchi. Ikumbukwe hawa wasanii wamekuwa maarufu kutokana na hawa wananchi ambao wamekuwa wakisalitiwa mara kwa mara.
Huko Twitter imeanzishwa Kampeni ya ku-unfollow watu wote maarufu ambao wako kimbelembele na mambo ya siasa za chama tawala au viongozi wa chama tawala, na kuwatelekeza raia ambao kimsingi wao ni waliowapatia umaarufu na si serikali. Panga hili la ku-unfollow mastaa na wasanii pia limemkuta Millard Ayo ambapo mpaka sasa kapoteza wafuasi zaidi ya 300k baada ya Kampeni hii kuanzishwa.
Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.
Unfollow wasanii wote ikiwemo wachekeshaji na kila mtu ambaye kapata umaarufu lakini hataki kusimama na raia badala yake amechagua kuwa chawa wa siasa za chama tawala
Sasa kumbe kama unawazo la namna hiyo tunagombana nini sasa!Hapo ndipo tunatofautiana. Kwa upande wangu kiu ni kupata mtu ambaye kwa dhati ya moyo wake ni kuendeleza wananchi hapo ndipo umuhimu wa reforms.
Mihemko tu! Ultrasound iuzwe million moja?Siasa huijui wewe ndio maana huelewi uhusiano uliopo baina ya kubadilisha mfumo wa utawala na maendeleo kwa jamii, sera na mifumo ya chama ndiyo inayo sababisha leo hii mradi wa mil 500 unajengwa kwa bil.1 napesa zingine zinaingia mfukoni na hakuna wa kumuwajibisha mwenzie kwa vile wote wanafanana tabia, wakati hayo yakiendelea kuna kituo cha afya hakina hata utrasound ya 1.mil kiasi cha kusababisha wananchi kufuata huduma hiyo over 100km na kuna mtu analindwa na sera za chama kakwapua 500mil na kikundi chake kilicho jificha kwenye kofia ya unana CCM
Mtu akiwafatilia wasanii hawa wa kibongo huwa namshangaa sanaWasanii wamepewa umaarufu na wananchi, ila hawataki kurudisha fadhila kwa wananchi kwa kusimama nao kwenye haki hususani kwenye Dunia hii ya utekaji na wananchi kuonewa... wasanii wamekuwa wakichagua upande wa watawala, wanasahau sisi ndio tumewafanya kuwa na mali na umaarufu walionao
=10milMihemko tu! Ultrasound iuzwe million moja?
Kwa hiyo JK ndio anampa Diamond Followers, au yeye ndio anampa Diamond Views au Subscribers youtube... Heshimu mashabiki, hakuna sanaa bila mashabiki... hata msanii awe endorsed na mflame wa Uingereza au Rais wa Marekani bado hatabaki hana kitu endapo mashabiki watamkataa....Tatizo huwa mnarukia mambo. Faida Msanii anayoipata ccm na kwa wananchi ni tofauti. Mfano Diamond kama si JK 2010, angelikuwa domo bado. Msanii ni mtafutaji ujue.
Faida ya NRNE ipo kwa wale wanaotaka kuchukua nchi ili nao watoto wao wafaidi kama Ridhuwani au sasa Abdul. Sijaona katika Tanzania mtu anayepambana aende Ikulu awakomboe mimi na wewe. Hata hawa waliopo na NRNE ni wale wale.
Hata siku moja husidharau cheche, cheche ikikorea vizuri inaunguza pori.... we kaa hapo na fikra zako potofu, Trump mwenyewe kapiganiwa mitandaoni na kashindaSasa hii inasaidia nini kuiondoa CCM madarakani? Watanganyika sijui mtashituka lini.
HujuiKwa hiyo JK ndio anampa Diamond Followers, au yeye ndio anampa Diamond Views au Subscribers youtube... Heshimu mashabiki, hakuna sanaa bila mashabiki... hata msanii awe endorsed na mflame wa Uingereza au Rais wa Marekani bado hatabaki hana kitu endapo mashabiki watamkataa....
Kama Diamond kawa Maarufu kwa sababu ya JK, basi mwambie JK amafanye msanii mwingine awe maarufu....
Safi hiyo pamoja na media za kusifu na kuabudu milele daima zote unfollow kabisa🔥Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo maslahi ya wananchi yakienda ndivyo sivyo. Hii imekuwa hata kwenye mataifa makubwa kama Marekani, Ulaya na sehemu nyingi za Dunia.
Lakini kwenye hii ardhi ya Nyerere mambo uwa ni tofauti kabisa, wasanii wengi hawasimami na raia au wananchi bali wao usimama na serikali au wanasiasa linapokuja jambo linalohusu mustakabali wa taifa au maslahi ya wananchi. Ikumbukwe hawa wasanii wamekuwa maarufu kutokana na hawa wananchi ambao wamekuwa wakisalitiwa mara kwa mara.
Huko Twitter imeanzishwa Kampeni ya ku-unfollow watu wote maarufu ambao wako kimbelembele na mambo ya siasa za chama tawala au viongozi wa chama tawala, na kuwatelekeza raia ambao kimsingi wao ni waliowapatia umaarufu na si serikali. Panga hili la ku-unfollow mastaa na wasanii pia limemkuta Millard Ayo ambapo mpaka sasa kapoteza wafuasi zaidi ya 300k baada ya Kampeni hii kuanzishwa.
Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.
Unfollow wasanii wote ikiwemo wachekeshaji na kila mtu ambaye kapata umaarufu lakini hataki kusimama na raia badala yake amechagua kuwa chawa wa siasa za chama tawala
Katiba ikiwa dhabiti hata ikulu akiingia jambazi, katiba inaweza kumtoa, katiba ya sasa hivi ni mbovu kiasi kwamba chama kilichoko madarakani kinatumia mwanya kujishindia bila kupingwa, na Rais anakuwa na nguvu kuliko umma.... katiba ikiboreshwa hata kiingie chama gani kikaleta ubadhilifu, tunarudi kwenye misingi ya katiba... Sasa hivi badala bunge liwakilishe Raia, Bunge liko busy kutetea serikali, wakati kazi ya mbunge ni kutetea wananchi. Wakuu wa-idara za ulinzi wanatenda kazi kwa kuogopa wanasiasa badala ya kusimamia sheria. Kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi, jeshi lolote halitakiwi kufungamana na chama cha siasa, lakini viongozi hao wa vyombo vya ulinzi wanatamka waziwazi kukiunga mkono chama tawala na wananadi sera za chama tawala waziwazi.....Tatizo siyo nyie ni umri Unasumbua.
Wote CCM na NRNE lengo lao kuu ni kushika madaraka. Kila mmoja akipiga hesabu anamuona mwenzie atapata wapi. Akina TAL wanaamini kama mamlaka ya Samia yakiondoshwa na uchaguzi ukawa wa huru na haki, watatoboa. Je, wakiingia ikulu nani atafaidi kwa keki ya Taifa? Jibu ni wao na watoto wao.
CCM wanaamini kuwa bila nguvu za kikatiba alizo nazo Samia sasa Hivi, uchaguzi ukiwa huru na haki, hawatoboi. Ambao ni Ukweli mtupu.
Je, sisi wapigakura watatuachaje. Kwa kuwa TAL hata siku moja hajawahi sema ni nini atatufanyia akiingia ikulu ili sisi tuangalie vikwazo vya yeye kuingia ikulu ambayo ni NRNE, ili tufaidi. CCM wao wapo ikulu muda wote huu ila hakuna mabadiliko. Tupo njia panda. Suluhisho ni kupigania mgombea binafsi si chama
Hao wote wanapatikana kwenye katiba mpya, ndio maana tunasema No Reform No Election... kila mtu ashinde kivyake na kwa halali kutokana na sera zake na sio kikundi kimoja cha watu kuwa na nguvu kuliko umma...Hapo ndipo tunatofautiana. Kwa upande wangu kiu ni kupata mtu ambaye kwa dhati ya moyo wake ni kuendeleza wananchi hapo ndipo umuhimu wa reforms.
Hata siku moja husidharau cheche, cheche ikikorea vizuri inaunguza pori.... we kaa hapo na fikra zako potofu, Trump mwenyewe kapiganiwa mitandaoni na kashinda
Itaendelea mdogo mdogoBaada ya wasanii?!
Nenda wewe......usituletee machafuko kwenye Nchi yetu.Endeleeni kujidanganya na hizo operesheni zenu uchwara. Kama kweli mna uchungu na Tanganyika yenu pia hampendi yanayo fanywa, nendeni pale Ikulu mninukishe.