Wewe hujui haki kama hujawai kunyanganywa au kudhurumiwa haki yako.... baki hapo ukila makande wakati wenzako wakipigania haki za wananchi wote.... nani kakwambia amani na umoja wa Taifa unahatarishwa na wananchi... wnanachi wote ni wapenda amani, ila amani na umoja upotea endapo kundi moja la watu watajaribu kuiba au kudhurumu haki za wengine.... kufungia makanisa na kuwazuia watu wasiende kusali katika matawi ya nchi nzima kisa mchungaji mmoja kaikosoa serikali kwa kuiambia ukweli uone kuwa wananchi wamenyimwa haki yao ya kusali, mabilioni ya pesa yanaibiwa na wengine kugawa million 5 kwenye kila goli timu itakayofunga huku huko vijijini hakuna hata Kipimo cha kupimia malaria huoni kuwa hapo haki haipo....Haki gani? Haki ya kuropoka, kutukana na kuhatarisha umoja wa Taifa? Ndivyo mnavyokaririshwa na mwenzako mange?
Wewe ni mpuuzi na lofa. Hiyo haki ndio italetwa na Braza K Mapovu? Vuguvugu la haki haliwezi kuongozwa na vibaraka wa mataifa ya nje. Huletwa na wazalendo wenye utaifa.Wewe hujui haki kama hujawai kunyanganywa au kudhurumiwa haki yako.... baki hapo ukila makande wakati wenzako wakipigania haki za wananchi wote.... nani kakwambia amani na umoja wa Taifa unahatarishwa na wananchi... wnanachi wote ni wapenda amani, ila amani na umoja upotea endapo kundi moja la watu watajaribu kuiba au kudhurumu haki za wengine.... kufungia makanisa na kuwazuia watu wasiende kusali katika matawi ya nchi nzima kisa mchungaji mmoja kaikosoa serikali kwa kuiambia ukweli uone kuwa wananchi wamenyimwa haki yao ya kusali, mabilioni ya pesa yanaibiwa na wengine kugawa million 5 kwenye kila goli timu itakayofunga huku huko vijijini hakuna hata Kipimo cha kupimia malaria huoni kuwa hapo haki haipo....
Ukiwa na akili timamu utaona makosa yako wapi, lakini ukiwa kichwa maji utaona hakuna makosa
bongo fleva ya sasa hivi huwa sisikilizagi imejaa ujinga ujinga snaZamani wasanii walitumia ubunifu wao kuchochea
1. Uzalendo
2. Kuchapa kazi kwa bidii
3. Kufundisha stadi za kazi
4. Kupongeza wapambanaji, TMK, East Coast, Wagosi wa kaya, etc
5. Kuhamasisha watu kujikinga maradhi ya zinaa kama kaswende na ukimwa, gono.
6. Kilimo
7. Biashara, umachinga
Siku hizi sasa
1. Ngono inahamasishwa wazi wazi.
2. Wanahamasisha ngono za kinyume na maumbile.......utasikia zama mtaroni, choo-toilet, Ukipata danga lipe kwa mpalange, temea mate iteleze kama nyoka.
3. Wasanii wa leo ni vichocheo vya ulevi, madawa, pombe, viroba utasikia Ntaka kulewa, Wacha nilewe, nijipe raha na gambe,
Wasanii wa sasa wabadilikex wahimize Uzalendo kwa Nchi na wananchi, wahimize uchapa kazi na sio udangaji na uvivu wa kutaka maisha mazuri.
Tuwaunge mkono lakini wasidumaze akili za vijana ambao ndio nguvu kazi ya kesho.
Hovyo kabisabongo fleva ya sasa hivi huwa sisikilizagi imejaa ujinga ujinga sna
Ushirikiano na watekaji???Division.
CHADEMA haitoweza kujakushinda chaguzi kwa mbinu hizi.
Za wale na Za Sisi
CHADEMA ina wanachama wangapi? Wana uwezo wa kubadilisha Dola? I doubt
Wekeni mkazo katika ushirikiano na sio Utengano.
wanaimba utumbo, yaani nyimbo hazina content zenye maadili kuhamasisha jamii kujifunza kutoa ujinga, kuhamasisha jamii kuthaminiana, leo hii unaona hatuthaminiani kabisaHovyo kabisa
Ni kweli na ndio kazi njema ya msanii inapaswa kuwawanaimba utumbo, yaani nyimbo hazina content zenye maadili kuhamasisha jamii kujifunza kutoa ujinga, kuhamasisha jamii kuthaminiana, leo hii unaona hatuthaminiani kabisa
AMENNilitabiri ili toka mwaka jana. Naona muda umewadia
Ili kujenga Tanzania, tabia hizi za wasanii zikemewe na kupigwa vita
MOja kwa moja kwenye mada Tabia ya kwanza . Kumekuwa na tabia za wasanii kutumia infuence yao kusifia chama cha kisiasa au kiongozi flani wakati wa kampen (mfano wasanii hulipwa na chama X kuwasifia kwenye majukwaa ya kisiasa na kutumia influnce yao kushawishi mashabiki zao wawapigie kura...www.jamiiforums.com
Umoja wa Taifa au Woga wa TaifaHaki gani? Haki ya kuropoka, kutukana na kuhatarisha umoja wa Taifa? Ndivyo mnavyokaririshwa na mwenzako mange?
Yanaanza kutimiaNilitabiri ili toka mwaka jana. Naona muda umewadia
Ili kujenga Tanzania, tabia hizi za wasanii zikemewe na kupigwa vita
MOja kwa moja kwenye mada Tabia ya kwanza . Kumekuwa na tabia za wasanii kutumia infuence yao kusifia chama cha kisiasa au kiongozi flani wakati wa kampen (mfano wasanii hulipwa na chama X kuwasifia kwenye majukwaa ya kisiasa na kutumia influnce yao kushawishi mashabiki zao wawapigie kura...www.jamiiforums.com
Elewa kwanza maana ya No Reform No Election... sisi hapa hatutetei CCM, Chadema wala Chauma... sisi tunazungumzia haki itendeke na katiba ibadilishwe vipengele ambavyo wanasiasa wanakuwa na overpower kuliko wananchi waliowaweka madarakani. Police wanashurutuhswa kutumia nguvu kwa raia mahali ambapo hakutakiwi kutumia nguvu, bunge linatetea serikali badala ya kutetea Raia, kazi ya mbunge ni kumsemea mwananchi na si kuisemea serikali.Division.
CHADEMA haitoweza kujakushinda chaguzi kwa mbinu hizi.
Za wale na Za Sisi
CHADEMA ina wanachama wangapi? Wana uwezo wa kubadilisha Dola? I doubt
Wekeni mkazo katika ushirikiano na sio Utengano.
Wananchi ndio utafuta haki endapo haitendeki, hakuna vuguvugu hapa, kwani umeona kuna raia ameshika risasi au anachuma maduka moto kusema kuna vuguvugu. Hakuna kibaraka, nchi upiganiwa na raia wake, sasa kama unadhulumu haki za wananchi ulitaka wakuache, unaiba kura, unatumia madaraka ndivyo sivyo, badala ya kununua ultrasound huko hospitalini ambayo ni million 10 tu, wewe huko busy kugawa million 5 kwenye kila goli timu ikifunga.Wewe ni mpuuzi na lofa. Hiyo haki ndio italetwa na Braza K Mapovu? Vuguvugu la haki haliwezi kuongozwa na vibaraka wa mataifa ya nje. Huletwa na wazalendo wenye utaifa.
Mwangi na Ajuza Karua ni wananchi? Haki gani unayopigania? Haki ya kuropoka na kuigawa nchi? Hizi kamwe hautazipata.Wananchi ndio utafuta haki endapo haitendeki, hakuna vuguvugu hapa, kwani umeona kuna raia ameshika risasi au anachuma maduka moto kusema kuna vuguvugu. Hakuna kibaraka, nchi upiganiwa na raia wake, sasa kama unadhulumu haki za wananchi ulitaka wakuache, unaiba kura, unatumia madaraka ndivyo sivyo, badala ya kununua ultrasound huko hospitalini ambayo ni million 10 tu, wewe huko busy kugawa million 5 kwenye kila goli timu ikifunga.
Inashangaza watu kama wewe bado ni wajinga katika karne hii, huoni makosa yanayotendeka, na huoni udhaifu wa katiba tuliyonayo, inayopelekea viongozi wa majeshi ya ulinzi kufanya kazi kwa pressure ya kisiasa au kwa nguvu ya chama kilichopo madarakani badala ya kutenda kazi kwa weledi
Wewe Akili yako na ya pund bora ya punda... haki si ya watanzania tu, haki ni ya kila mtu akiwemo mgeni, ni watanzania wangapi wanaoishi ughaibuni, je ni nini kitatokea kwa watanzania wenzetu walioko ughaibuni endapo raia wa kigeni watafanyiwa kama hao wakenya na mganda alivyofanyiwa... usifikirie hapa tu fikiria nje ya box, zaidi ya yote haki inayopigania unaielewa ila umeamua kukaza hilo komwe... makanisa yanafungwa kisa mchungaji mmoja, na mchungaji huyo hakuna kosa katenda zaidi ya kusema ukweli, watanzania hao umewakosesha haki yao ya kuabudu... wewe uliwahi kuona msikiti unafungwa kisa Sheikh kazungumza kuhusu serikali...Mwangi na Ajuza Karua ni wananchi? Haki gani unayopigania? Haki ya kuropoka na kuigawa nchi? Hizi kamwe hautazipata.
Kweli ubonho zlwako ni mdogo kuliko pilitoni. Reasoning gani hii unafanya? Hao watanzania wa ughaibuni wameingilia siasa za ndani wanapoishi kwa harakati uchwara? Mnawezaje kuzuia uchaguzi uliopo kikatiba? Kama msajili tu mmemshindwa na kuufyata mnadhani mna nguvu dhidi ya vyombo na watu walioapa kulinda katiba? Unapozungumzia kuwa hakuna msikiti uliofungwa kwa sababu ya Shehe wake hapo ndipo nakuona wewe mburula na hujui lolote, kwa kuwa misikiti mingi tu iliwahi kufungwa na hata taasisi kufutwa kwa ajili ya mashehe waliotaka kuharibu amani ya nchi. Ni mpumbavu tu kama wewe ambaye anaweza kuona kila suala kwa mtazamo wa kidini.Wewe Akili yako na ya pund bora ya punda... haki si ya watanzania tu, haki ni ya kila mtu akiwemo mgeni, ni watanzania wangapi wanaoishi ughaibuni, je ni nini kitatokea kwa watanzania wenzetu walioko ughaibuni endapo raia wa kigeni watafanyiwa kama hao wakenya na mganda alivyofanyiwa... usifikirie hapa tu fikiria nje ya box, zaidi ya yote haki inayopigania unaielewa ila umeamua kukaza hilo komwe... makanisa yanafungwa kisa mchungaji mmoja, na mchungaji huyo hakuna kosa katenda zaidi ya kusema ukweli, watanzania hao umewakosesha haki yao ya kuabudu... wewe uliwahi kuona msikiti unafungwa kisa Sheikh kazungumza kuhusu serikali...
tunachuzungumzia hapa maana ya Reform ni kuondoa uwezo wa watu wachache kuwa na nguvu kuliko katiba, acha kufikiria kama mnywa gongo