Dominik Dominik
Member
- Jun 3, 2025
- 94
- 153
kijana inaonesha upo mbali na mambo ya kiserikali,TPB ilibadilishwa now TCBWe nawe, bank ya posta ni TPB, halafu kampuni za ulinzi mishahara yao ni kati ya 100,000./ hadi 400,000/
Wakati hakuna mwalimu anayelipwa laki kwa mwezi.
itakuwa alipigwa ban ya kudumu maana jamaa ashapigwaga ban za kutosha akirejea mwendo wa post za kejeli kama kawa kama mpina au lissu hv,nadhan kabadili IDHivi Mpwayungu Village alitangulia mbele ya haki?
What?Out of all the resources in any company, people are the most important resource. Acha kujitetea kwa namna yoyote, nenda kawajali watu wako!! Ukiwajali watafanya kazi kwa kujituma na kwa ufanisi mkubwa!! Walahi, hata Mungu wa mbinguni atakubariki!
People are the most IMPORTANT RESOURCE in any company! That is what I believe!! Siyo majengo, siyo machines, siyo fedha wala .......! Cha pili, nadhani ni TIME (MUDA). Huo ni mtazamo wangu mimi. Mengine kama fedha, majengo nk yatafuata!What?
Halmashauri apo nakubali
Utavuta Bangi Na Njaa...???Unaujua Mpepe Wewe..??Hao konde gang yule msanii wao aliyeondoka hivi karibuni alisema kuna njaa isiyo ya mfano, boss wao yeye anajua kuvuta bangi tu
Haaaah ulimkomboa sana muhandisiNilikutana na engineer wa halmashauri amepauka anatia huruma
Kwa kuwa kuna issue nilikuwa nafuatilia ilibidi nimtoe ya lunch yule mwamba alinishukuru sana
Na huo ndio utu. Mungu wa mbinguni akukumbuke sana mkuu.Nilikutana na engineer wa halmashauri amepauka anatia huruma
Kwa kuwa kuna issue nilikuwa nafuatilia ilibidi nimtoe ya lunch yule mwamba alinishukuru sana
Kampuni za ulinzi zisizo na njaa ni G4S, GARDAWORLD na SGA pekeeeKweli kabisa mkuu,kuna ambae namuona mahali kila siku anashinda kwa kula miwa tu.
Kwamba wataka kusema na AzamTv imo!?😅Hiyo mbeya university kivipi Wana njaa Kali? Bakhresa upo sahihi