Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Ondoa Rita, Brella na TAFORI kwenye orodha yako.
Ongeza wafuatao
1. SIDO
2. DAWASA wasoma mita na mafundi
 
Unamaliza kuongea kwenye Maiki unsain out kuna deal gani zaidi mle studio. Labda upate matangazo mtaani uibie boss asijue au tangazo la laki 3 useme umepewa lak 1

Ukibahatika kua Fame, Matangazo ya Social media zako, Uwezo wa kufanya biahsara kupitia platform utakayo ipata hapo Kwenye media
 
Hakuna tofauti bro elimu now inalipwa majeshi yote wanacho wazidi ni kwamba TPDF Kuna kozi zinalipwa ilo tu na mikopo yao mikubwa basi ila ukikaa na mwanajeshi utajua hamna hela wengi njaa tu wanakopa vibaya hasa wa JKT
-Huwezi kujilinganisha na TPDF,
Angalia salary scale ya nyota 1 ya tpdf na nyota 1 ya Police, ndio utaona gap lililopo.
- Madeleka aliacha KAZI na cheo Cha inspector ambacho salary scale yake ya kuanzia ni 990,000-1,170,000/- (Bar),
 
-Ondoa BRELA Kwa sasa ni pazuri Ofisa wa brela anaenza kazi analipwa mara 2 ya askari magereza au police au zimamoto au ofisa wa halmashauri, pia wana extraduty, housing,nk
-MUST ondoa salary scale ya Tutorial Kwa sasa ni 1.75+m na Wana posho ya vipindi nk
- Taaisi nyingine kwenye orodha yako zitategemea na Cheo chako eg ukiwa Jaji unakula maisha,
 
Weka na kampuni yako bro tuione,huu ni upotoshaji kabisa kwenye taasisi ulizozitajau nless unaevidence.Acha ujinga kufuatolia mambo yasiyo kuhusu wala huna vielelezo.Lool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…