Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Mkuu sasa utakuta ni Darasa la saba au form 6 sasa safari ya kwenda wapi?. Jeshi uzuri wake unaweza kupata kitengo center pesa kila siku ukaondoka na laki 3.
Jeshi wana ratiba za mafundo , ambao ni constant..Uzuri wa jeshi wanajua mpaka mafunzo yao wa mbeleni ,ila hawana safari za kushtukiza na wizi.
 
Manara Tv mbona anajisifu wafanyakazi wake kawatafutia nyumba Bahari Beach
Wafanyakazi wote wa hizi media, wengi ni utawaona kwenye vibes ,yule lukamba alikimbia Wasafi licha ya kupewa gari ...
 
TARURA nasikia walikata kamba ,yaani walijitoa ili wajitegemee kama mamlaka kamili .

Wako vizuri sana ,onsite duties za uhakika ..Mtu anapiga mwezi yuko site .
 
Ndugu vision fund hawa wanaotoa fixed contract acha masikhara banah tuna ndugu na marafiki zetu wanafanya kazi huko hakuna kabisa maslahi banah
 
Asavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hiyo St Judy hapo juu haujaiona eeh😁😁
Wembe ni ule ule
 
Unge andika tu viwanda vyote vya Tanzania kuna watu wanalipwa elfu 3 au elfu 5 kwa masaa 12 kwa siku

Unge andika tu viwanda vyote vya Tanzania kuna watu wanalipwa elfu 3 au elfu 5 kwa masaa 12 kwa siku.
Kuhusu viwanda vimetofautiana sana viko vya level mbalimbali,pia hao wanaolipwa elfu 5 ni vibarua mara nyingi ni kwenye viwanda vya wahindi.
Nenda pale TBL ukaulizie machine operator mwenye elimu ya form 4 analipwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi wakati kwenye taasisi zingine huu ni mshahara wa mtu mwenye degree
 
Extraduty ni nini mkuu na inalipwaje hiyo ?
Tra
 
Hapo kwenye taasisi unakosea mtu anaweza akalipwa laki 5 lakini hayo marupu rupu yake balaa.
 
Hapo kwenye taasisi unakosea mtu anaweza akalipwa laki 5 lakini hayo marupu rupu yake balaa.
Marupurupu/allowances huwezi kuzipigia hesabu au huwezi ukazitengenezea formula maana hazina mtiririko wa kueleweka.
Yaani huwezi kuzikadiria kabla kwa sababu haieleweki utapewa lini ni kama kubet na isipotokea huwezi kudai kilazima.
Mshahara ndio haki yako ya msingi
 
Kuna watu kutokana na nature ya kazi zao wanakesha site yaani ndio kazi yao hyo.
 
Engineer RUWASA engineer tarura na madereva wengi tu mtu anapotea mwezi akirudi ana sign madokezo tu.
- Taasisi nyingi za umma zimeweka ukomo wa siku za kusafiri baadhi ninazozijua kwa mwezi ni siku 20.
-Hapo ukipiga hesabu kwa mwezi akipata sana ni 3m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…