Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Naona muhasibu wa kampuni umekuja kumtetea boss wako
 
World vision hapo inafanya nini mkuu? Wacha kamba zako wewe! WVI njaa inatoka wapi? Wale hawategemei hela ya Mmarekani tu!
 
Hapana
Hakuna tofauti bro elimu now inalipwa majeshi yote wanacho wazidi ni kwamba TPDF Kuna kozi zinalipwa ilo tu na mikopo yao mikubwa basi ila ukikaa na mwanajeshi utajua hamna hela wengi njaa tu wanakopa vibaya hasa w

Detective J mi ni mcheshi hamna cha ukweli hapo..
Huwa napenda kufurahisha jukwaa mkuu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mi ni mcheshi sana
Mkuu kwema lakini, sina ugomvi na ww 😂😂😂
 
Mi sijui watu wanaishije ila nachojua wanaishi. Ila nchi yetu nayo ni kasheshe. What do you mean I have to survive on less than 1M a month?


Kwa wanaobishana kuhusu world Vision, nawaelewa concern yao, kwenye industry ya NGOs; WV huwa ni sehemu ya kuanzia… Ukianza kwenda kwenye NGO’s zingine ndipo utagundua WV rate zao ziko chini. Watu wengi kipindi cha ujunia au Intern tushawahi kuwa WV, ukikua ukaota “mbawa” ndipo utagundua kuwa wameachwa mbali na wenzao.

Ukiniuliza nitasema njaa anayoizungumzia mleta mada ni “comperative”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…