Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Embu mkisema fulani hafai, mtoe na list ya mapungufu! Maana tunapata mashaka na baadhi ya watu mnaowataja kuwa kuna chuki binafsi.
 
Pumbavu hii nchi siyo yenu peke yenu.

Hali hii ndiyo inayofanya watu mnaowatenga na kuwaona hawafai, mnapopatikana na mabaya wafurahie

Halafu mnakuja na neno uzalendo
We endelea kunyoa maji yakiiisha mwambie mwantumu akuleteee hakun kitakachobadilika
 
Mi naona MH majaliwa na Dr bashiru hawana shida ,ebu niambie tatizo Lao ?
 
Achana kabisa na RC Geita.
 
Majliwa ana kasoro gani, mbona anachapa kazi sana? Wacheni wivu wa kijinga jamani.
 
Hata makamo wake naona aingie kwenye list.

Nadhani bora angevunja bunge na kachaguwa tume mpya ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…