Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

Kwenye makampuni wapo wazuri kwa sababu wanachujwa sana.

Huko kwenye siasa usiseme mkuu, Mfano DC wa Nzega aligawa sketi sasa anaendeshwa na gari lenye bendera.
 
Wewe ni kiboko, umeweza kufuatilia mmoja mmoja
 
1) namba 4 mbona zipo mbili?

2) Umetumia vigezo vipi?
 
Mbunge wetu Ilemela ni janga kubwa yupo bussy na uwaziri.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Naona umemsahau nape nauye hio thread yako iko biased ifutwe nape ilitakiwa awe wa mwanzo kabisa hapo
 
Garbage in garbage out!

Watu weusi jinsia Ile wakipewa madaraka wanawehuka, wanalewa na kuvimbiwa!

Hata ulete wengine toka mbinguni results itakuwa hiyo hiyo , kazi sahihi kwao from Almighty God ni kujifungua, kukaa home na kulea watoto tu!

Hiyo jinsia ni shida tu mnalazimisha tu mi nawaona ofisini wanaboa kinoma, asilimia 98 kazi yao kujiremba tu muda mwingi! Hawaendi home mpaka wakajirembe wash room 1 hour! Mi nimeona kuna mademu wawili tu wenye akili ofisi nzima na hawajirembi wako natural!
 
Namba 5&6 Kwa kweli mpaka hua naomba waamke tu hawapo ikibidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote kwa yote Madelu lazma awe namba moja
 
Namba Tano na namba SITA wanaangushiwa tu jumba bovu. Walikuwa hali ni taabani kwenye hizo sekta. Ukweli ndo huo
 
incompetency ni pamoja na kufanya kazi na watu incompetent, competence inapimwa na mafanikio, sasa mafanikio utayapataje wakati wanaokuzunguka wengi ni vilaza.

Njia pekee ya wale woote wanaojiona ni competent na wako serikali au mashirika ya umma kujinasua na wao kuonekana vilaza ni kukaa nje ya mfumo au kupambana na kuuondoa mfumo uliooza na kuujenga mfumo imara kwa haraka.
 
100% ina ukweli nilivoona namba 1 Tu nikajua mtoa post ni genius
 
Hao wengine mbona unaweka vyeo badala ya majina, unazani wote tunawafahamu basi!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…