Hapa ndo tatizo lilipoanzia.Huyohuyo Samia naye ni incompetent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndo tatizo lilipoanzia.Huyohuyo Samia naye ni incompetent
Kwenye makampuni wapo wazuri kwa sababu wanachujwa sana.Yawezekana wengi wetu tumekulia mfumo dume lakini nadhani si sasa kusema wanawake hawafai kuwa viongozi.
Kuna wanawake wengi tu kwenye makampuni wanafanya vema.
Changamoto walionazo uliokutana nao na wanaume pia tuna zetu kwa wanawake waliokutana na sisi.
Tusitoe majumuisho yanayotawaliwa na tamaduni zetu au historia zetu, hii si sawa.
Hivi ikitokea mwanao wa kike amekua mbunge, waziri au Raisi hutakua unatusumbua mtaani na kutuambia mtoto wangu yule.
Kuanzia leo nakuomba uthamini mtoto wa kike akiwa na mapungufu ni yeye binafsi na iwe heri mwanao na mwanangu wote wa kike wakutane bungeni 2050.
Pata Kvant mkuu popote ulipoHapa ndo tatizo lilipoanzia.
Yaani niupuuzi tu kama ma dc na ma das niuharibifu wa rasilimali fedha kabisa.MFUMO NI MBOVU MNO.
BILA KUWA NA KATIBA MPYA.
NAFASI ZA WAKUKU WA MIKOA NA WILAYA NI UZUSHI.
Wewe ni kiboko, umeweza kufuatilia mmoja mmojaKaribuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.
1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD 😂
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31.Ongezea hapo na Wewe ——-
1) namba 4 mbona zipo mbili?Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.
1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD 😂
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31.Ongezea hapo na Wewe ——-
Mbunge wetu Ilemela ni janga kubwa yupo bussy na uwaziri.Ila Mabula chenga sana ujue,Jimbo la Ilemela Barabara ni mbovu balaa,Mimi naishi Lumala aisee, Barabara mvua imenyesha kidogo tu ni makaorongo kibao na yeye Wala hafanyi ziara Jimboni na DC na Mkurugenzi ni watu wa ofisini tu,kumtembelea Wananchi hakuna.
Lakini tuwe Wakweli ata Mama mwenyewe kachemka basi tu kakuta nchi yetu ni taifa la Wanafiki.
Naona umemsahau nape nauye hio thread yako iko biased ifutwe nape ilitakiwa awe wa mwanzo kabisa hapoKaribuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.
1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD 😂
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31.Ongezea hapo na Wewe ——-
Si ndo juzi kaomba bajeti ya posho ya tshs bil 47🤣🤣🤣Mbunge wetu Ilemela ni janga kubwa yupo bussy na uwaziri.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Namba 5&6 Kwa kweli mpaka hua naomba waamke tu hawapo ikibidiKaribuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.
1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD [emoji23]
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31. Nape Moses Mnauye
32.Ongezea hapo na Wewe ——-
Yote kwa yote Madelu lazma awe namba mojaKaribuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.
1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD 😂
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31. Nape Moses Mnauye
32.Ongezea hapo na Wewe ——-
Hauoni shilingi inavyoporomoka na hakuna hatua zozote zinachukuliwa.Gavana ana shida gani? Au wivu wenu tu nyie wadada
Geopolitical effects za Ukraine war, achana na GavanaHauoni shilingi inavyoporomoka na hakuna hatua zozote zinachukuliwa.