Too primitive for today’s worldNaam naam na huyo ndio mke sahihi, kazi ya mumeo wewe ya nini na inakuhusu nini anaefanya kazi ni wewe au ni mumeo? Unampangia mumeo muda wa kurudi kazini wewe ni boss wake? Does that make sense to you una act as a second boss ana boss kazini na wewe unakua boss wa pili for what? Hi
Nahisi hapa kuna watu wanaanza kunielewa nimemaanisha nini hata km hawakubari ila wameelewa nini maana yakeKuna vitu umeandika ni kweli, ila kuna vingne hapana ni makosa makubwa sana! Mfano, mkeo kumficha asset zako au kumficha watoto/mtoto uliyenae nje ya ndoa, hii ni hatar pale unapata na mauti!
Sema mwanaume unatakiwa uish mkeo asikusome akakumaliza, uwe na maisha hautabiriki, ndege si ndege na mnyama si mnyama husomeki! Mind you, mkeo akikusoma akakumalza UMEKISHA!
Are you living in Tomorrow's World or which World are you from?Too primitive for today’s world
Hahaha nimeshaweka mkeka huo hapo juu soma uelewe ufanyie kazi km unapinga fanya kinyume na nilivyoandika utaleta uzi hapa, reference ninayo nimeandika kutoka field nimeshuhudia nimeandika kitu ninachokifahamu sijakurupuka, usimwambie Mkeo kwamba kuna Mwanaume hua anapumua nyuma ya kisogo chako Ndoa imesha hio, unafikiri ukimwambia mkeo kila kitu ndio unafanya maisha?Wazee na ndoa zenu mna heka heka sana wanetu ,sasa huyo ni mke au malaya?
Anyway hujawahi kuoa kaka tuulize sisi na manara tunayo mengi ya kukusimulia
Unabahati,Nataja ¼
Sio Mshahara tuNakubaliana na wewe hapo kwenye mshahara tu,
Kumwambia mkeo mshahara wako ni sawa na kuuza ramani ya vita kwa adui.
Bahati ipi?Unabahati,
Atafanyanini akijua?Nakubaliana na wewe hapo kwenye mshahara tu,
Kumwambia mkeo mshahara wako ni sawa na kuuza ramani ya vita kwa adui.
Labda wake za madalali😅Mkilewa msichati,au mmeoa mataahira huko? Hivi mwanamke mwenye akili timamu anaweza kuolewa na mwanaume ambae hajui hata anafanya kazi gani? Yaani asubuh aamke Aende kazini hujui hata ni wapi,boss wake ni Nani kipato chake kina range tsh. Ngapi? Yaani huyo mwanamke yupo yupo Tu🤔🤔🤔🤔🤔
Sio lazima kujua kwani nimemlazimisha na mboni km unanisemea au unajisemea mwenyewe, mwanamke hapaswi kujua nilivyovitaja kuhusu wewe km unabisha leo nenda kamwambie hivyo baadhi nilivyokutajia kesho sio mbali utaonyeshwa movie ambayo hujawahi kuiona tangu umuoe, wewe si mbishi fanya hivyo leo nenda kamwambie mkeo full details mshahara wako, malaya unaolala nao, una watoto wangapi huko nje, boss wako anaitwa nani mpe mpaka contact zake, ukiweza Assets zote andika majina yake muonyeshee, etc then come back here and show us nakupa muda mfupi sana wa kujitafakari kabla hayajakukutaNa yeye akikuficha kuhusu vitu vyake, Mnakuja kulalama huku JF.
Mara mke wangu mbinafsi. Unasahau hata wewe ni mbinafsi vilevile kwa kuficha ficha vitu.
Kama hutaki mkeo ajue vitu vyako, Unaoa kwa nini?
Wewe tafuta mwanamke mzae watoto tu, muwalee, kila mtu abaki na chake.
Kaka umeanza kupiga bia ☺️😊ntakusemea kwa Kirangamuda mwingine inabidi upige bia zako, huku ukikubali duniani kuna upuuzi mwingi sana.
Sasa mwanamke waa hivyo sio wa kuoa, uliza wazee wako watakwambia au kaongee vizuri na Mama yako atakupa full details km mpaka leo anajua baba yako alikua analipwa kiasi gani au alikua anafanya kazi ofisi gani, wake up young ladyMkilewa msichati,au mmeoa mataahira huko? Hivi mwanamke mwenye akili timamu anaweza kuolewa na mwanaume ambae hajui hata anafanya kazi gani? Yaani asubuh aamke Aende kazini hujui hata ni wapi,boss wake ni Nani kipato chake kina range tsh. Ngapi? Yaani huyo mwanamke yupo yupo Tu🤔🤔🤔🤔🤔
Kuna Mwenzio yamemfika na sasa hivi kazini hapaendeki na kesi imekua kubwa.. ni mawazo ya kivulana ila sio mvulana km wewe sikutegemea km kuna wanawake wanaolewa na mvulana km weweWakati wanaume halisi tunapambana kurithisha harakati na mikakati ya kiutaftaji kwa familia(hasa watoto) wewe endelea kujaza mashudu yako kichwani.
Mimi kila asset nayokamilisha lazima mke na wanangu wajue mahala ilipo na kama ni kiwanja wajue mipaka yake na hati zote zijulikane mahali zilipo.
Mke wangu lazima aijue kampuni na ofsi napofanyia kazi.
Huu ujinga wa kufichaficha mambo ndo mara nyingi baba ukifa watoto na familia kwaujumla hudhurumika na kupoteza mali.
Haya mawazo yako yamekaa kivulana sana.