Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554

Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka, ukubwa wa ligI. Alizocheza, Timu ya taifa , miongoni mwa maswala mengine ya soka

1. MacDonald Mariga Wanyama -Kenya

2. Victor Mugubi Wanyama -kenya

3. Mbwana samatta -Tanzania

4. Denice Oliechi -Kenya

Orodha hii itaendelea
 
Robert Sentongo, Emanuel Okwi, Ibrahim Shikanda, George Odhiambo.
Hapo nao tusiche nyuma japokuwa walifanikiwa zaida wakiwa ndani ya East Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…