Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

kuna afrika mashariki kijiografia na afrika mashariki kijumuiya. jiografia ya afrika mashariki inaundwa na nchi 5 nazo ni TANZANIA,KENYA,UGANDA,RWANDA na BURUNDI. Lakini jumuiya ya afrika masharki inaundwa na nchi 7 nazo ni tanzania,kenya,uganda,rwanda,burundi,south sudan na congo DR. Note. katika jumuiya ya afrika masharki nchi yeyote inaweza kujiunga na jumuiya hata kama kijiografia si sehemu ya afrika mashariki,ili mradi ikidhi vigezo na masharti ya kujiunga na jumuiya hiyo The Legacy
Kijografia Somalia unaiweka wapi?
 
Jimmy Gatete (APR), Peter Senyonjo (Police Uganda), Edibily Lunyamila (Yanga), Athuman Machupa (Simba), Mrisho Ngasa (Yanga). huyo samata ni bahati tu imembeba lakini si mchezaji
Naona wakina manara, njohole nk hamtaki kuwasikia kabisa
 
Kiuhalisia Congo, Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya wamekuwa na wachezaji waliuvuma kuliko wachezaji wa Tanzania sijui kwa nini.
Kama unawaweka kina Berahino basi Tanzania nayo pia inayo wengi.

Al Habsy Golikipa alietamba sana Epl, yule Striker wa Qatar Akram Afif, kuna Yule wa Denmark Yusuf Poulsen, Kuna Sunday Manara (Alicheza Uholanzi na Cryuff) etc.

Sababu hatuna Uraia pacha wengi Wanashindwa kuja kuchezea Tanzania.
 
Sasa ndo washakuwa sio watanzania na huwezi kuwahesabia
Kuna ambao juu wametajwa na Uraia Pacha, mfano Berahino alikua ni Muingereza na Alicheza Kidogo Timu ya taifa ya Uingereza kuanzia U16 hadi U21, sheria mpya za Fifa zinaruhusu kubadili timu za taifa kama una Uraia Pacha, ndio maana alirudi Burundi.

Sisi hatuna hilo, unachagua moja.
 
Ok
 
Back
Top Bottom