Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Kuna mrundi pia anachezea OGC Nice anazima beki wa kati anaitwa Youssef Ndayishimiye
 
navyojua mimi Congo haipo africa mashariki.

Africa mashariki ina nchi 5 tu.
Umetoka kupiga nyeto unakuja andika vitu huvijui,umeiweka cecafa humo,una uhakika congo haipo/haikuwepo cecafa!?.. ethiopia, Somalia, djibouti, eritrea,sudan hazipo cecafa?
 
Umetoka kupiga nyeto unakuja andika vitu huvijui,umeiweka cecafa humo,una uhakika congo haipo/haikuwepo cecafa!?.. ethiopia, Somalia, djibouti, eritrea,sudan hazipo cecafa?

Matusi mengii huku unaongea kitu ambacho sio jibu.

Jifunze maana ya Cecafa kwanza unayoisemea..

Kuwa cecafa haimaanishi kama upo africa ya mashariki..

Cecafa inahusisha africa ya kati pia
 
Matusi mengii huku unaongea kitu ambacho sio jibu.

Jifunze maana ya Cecafa kwanza unayoisemea..

Kuwa cecafa haimaanishi kama upo africa ya mashariki..

Cecafa inahusisha africa ya kati pia
Mnasahau hata mlichoandika punde tu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-23-00-20-43-509.jpg
    Screenshot_2025-02-23-00-20-43-509.jpg
    470.4 KB · Views: 1
Hivi africa mashariki Congo DRC haipo eeh.
Kiazi kweli wewe.
Politically DRC ni Africa Mashariki lakini Geographically Congo DRC ni Central Africa.nchi nyingine za Africa Mashariki ambazo Politically hazibase na East African Community japokuwa kijiographia zipo Africa Mashariki ni Eritrea,Ethiopia,Djibout,Shelisheli,Commoro,Mauritius na Madagascar

Mfano wa nyongeza Mayotte Geographically ni Africa lakini politically ni Ulaya (basically imekhwa attached na nchi ya Ufaransa)
 
navyojua mimi Congo haipo africa mashariki.

Africa mashariki ina nchi 5 tu.
Zaidi ya tano lakini uitoe Burundi na Rwanda

Kijiographia Burundi,Rwanda na haga DRC ni nchi za Africa ya kati japokuwa kisiasa zimefungamana na nchi za East Africa.

Pia kuna nchi za Africa Mashariki ambazo kijiographia ni Africa Mashariki japokuwa zenyewe kisiasa hazifungamani na umoja wa nchi za Africa ya Mashariki(EAC),Hapa kuna Eritrea,Ethiopia,Djibouti,Seychelles,Commoro,Madagascar na Mauritius
 
Back
Top Bottom