Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Jimmy Gatete (APR), Peter Senyonjo (Police Uganda), Edibily Lunyamila (Yanga), Athuman Machupa (Simba), Mrisho Ngasa (Yanga). huyo samata ni bahati tu imembeba lakini si mchezaji
Kuwa mchezaji bora wa Africa kwa wachezaji wa ndani haiwezi kuwa bahati, aliyoyafanya kwa muendelezo haiwezi kuwa bahati pekee. Bahati hupambaniwa.
 
Sasa wewe unamtaka Okwi ana consistency gani
Okwi alinifanya vyema Sana akiwa Simba hadi
Étoile Sportive du Sahel akarudi tena Simba kwa Moto ule ule kiasi cha mimi kumwita mchezaji Bora wa Simba wa muda wote.
 
kuna afrika mashariki kijiografia na afrika mashariki kijumuiya. jiografia ya afrika mashariki inaundwa na nchi 5 nazo ni TANZANIA,KENYA,UGANDA,RWANDA na BURUNDI. Lakini jumuiya ya afrika masharki inaundwa na nchi 7 nazo ni tanzania,kenya,uganda,rwanda,burundi,south sudan na congo DR. Note. katika jumuiya ya afrika masharki nchi yeyote inaweza kujiunga na jumuiya hata kama kijiografia si sehemu ya afrika mashariki,ili mradi ikidhi vigezo na masharti ya kujiunga na jumuiya hiyo The Legacy
EAC ina nchi wanachama 8, umeisahauu Somalia.
 
View attachment 3245086
Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka, ukubwa wa ligI. Alizocheza, Timu ya taifa , miongoni mwa maswala mengine ya soka

1. MacDonald Mariga Wanyama -Kenya

2. Victor Mugubi Wanyama -kenya

3. Mbwana samatta -Tanzania

4. Denice Oliechi -Kenya

Orodha hii itaendelea
5. Joe Kadenge
6. Gibson Sembuli
7. Sunday Manara
8. Abdalah kibadeni
9. Martin Kikwa
10. Ezekiel Grayson jujuman
11. Aluu Alii..
12.Zamoyoni Mogella
13. Malota Soma
Etc
 
Back
Top Bottom