Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Watu wamecheza uefa champions league na kubeba kombe halafu unawachanganya na watu ambao hata kombe la shirikisho la africa hawajawai kubeba
Basi Uzi ufungwe kwa maana hakuna wachezaji wangeni ukiachana na hao walioshiriki mashindano ya ulaya.
 
Hivi africa mashariki Congo DRC haipo eeh.
Kiazi kweli wewe.
kuna afrika mashariki kijiografia na afrika mashariki kijumuiya. jiografia ya afrika mashariki inaundwa na nchi 5 nazo ni TANZANIA,KENYA,UGANDA,RWANDA na BURUNDI. Lakini jumuiya ya afrika masharki inaundwa na nchi 7 nazo ni tanzania,kenya,uganda,rwanda,burundi,south sudan na congo DR. Note. katika jumuiya ya afrika masharki nchi yeyote inaweza kujiunga na jumuiya hata kama kijiografia si sehemu ya afrika mashariki,ili mradi ikidhi vigezo na masharti ya kujiunga na jumuiya hiyo The Legacy
 
Fact 💯
 
Steven Desse MUKWALA mwamba kabisa huyu,anakipiga klabu namba 6 afrika na anashiriki MOJA ya mashindano makubwa barani afrika hatua ya robo fainal.
 
View attachment 3245086
Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka, ukubwa wa ligI. Alizocheza, Timu ya taifa , miongoni mwa maswala mengine ya soka

1. MacDonald Mariga Wanyama -Kenya

2. Victor Mugubi Wanyama -kenya

3. Mbwana samatta -Tanzania

4. Denice Oliechi -Kenya

Orodha hii itaendelea
Victor must be the number one
Halafu Berahino yuko juu ya Samatta
 
Jimmy Gatete (APR), Peter Senyonjo (Police Uganda), Edibily Lunyamila (Yanga), Athuman Machupa (Simba), Mrisho Ngasa (Yanga). huyo samata ni bahati tu imembeba lakini si mchezaji
 
Back
Top Bottom