Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

Jimmy Gatete (APR), Peter Senyonjo (Police Uganda), Edibily Lunyamila (Yanga), Athuman Machupa (Simba), Mrisho Ngasa (Yanga). huyo samata ni bahati tu imembeba lakini si mchezaji
Kuwa mchezaji bora wa Africa kwa wachezaji wa ndani haiwezi kuwa bahati, aliyoyafanya kwa muendelezo haiwezi kuwa bahati pekee. Bahati hupambaniwa.
 
Sasa wewe unamtaka Okwi ana consistency gani
Okwi alinifanya vyema Sana akiwa Simba hadi
Étoile Sportive du Sahel akarudi tena Simba kwa Moto ule ule kiasi cha mimi kumwita mchezaji Bora wa Simba wa muda wote.
 
EAC ina nchi wanachama 8, umeisahauu Somalia.
 
5. Joe Kadenge
6. Gibson Sembuli
7. Sunday Manara
8. Abdalah kibadeni
9. Martin Kikwa
10. Ezekiel Grayson jujuman
11. Aluu Alii..
12.Zamoyoni Mogella
13. Malota Soma
Etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…