Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Wekeni hakiba ya maneno kwa hao waliochwa kwenye uteuzi, kwa CCM kila kitu kinawezekana. Jerry Muro anaweza kuwa Mkuu wa Mkoa muda wowote, kama kina Bashite waliweza kuwa hivyo chini ya CCM tena kwa aliyekuwa akisifiwa kuwa Mkombozi wa Africa, Sasa msije mkashangaa baadhi yao wakawa Wakuu wa Mikoa. CCM haijawahi kuwa serious kwenye uteuzi, yoyote wanayemuona ana kichwa, sio akili timamu anaweza kuwa kiongozi wenu maadamu anaweza kujikomba tu basi hiyo ni sifa kubwa ya kuteuliwa, kuhusu akili pelekeni vyuoni ila sio CCM.
 
Utaula wa chuya... msemo umenikumbusha mbali sana miaka ya utoto huko, hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…