Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👏👏👏Katoswa.Hayupo kwenye list ya waliobaki kwenye vituo vyao wala waliohamishwa.
Acha uwongo. Abdalah Mwaipya kaendelea kubakia MwangaMwaipaya karudi radio one na J Muro karudi Yanga
Utaula wa chuya... msemo umenikumbusha mbali sana miaka ya utoto huko, hahahaIla hii nchi bana utaratibu wa kupata viongozi ni wa hovyo sana, kipindi flani nikiwa Mzumbe University- Morogoro tukaletewa mgeni rasmi mmoja hivi mdada ilikua ni siku ya 'ujasiriamali' pale chuoni. Mgeni rasmi alikua ni mkuu wa wilaya ya Mvomero ee bana yule mkuu wa wilaya sijui aliokotwa wapi akapachikwa kwenye hicho cheo. Uchangiaji wa kale kadem ilikua ni aibu kumsikiliza yani tangu siku hiyo sina imani na mwana ccm yeyote hata huyo mnamuita mama.
Huyu walichelewa sana..Jerry Murro.
Mashinji yupo anaendelea kuwa Serengeti.1. Basils Mwanukuzi
2. Jerry Muro
3. Vicent Mashinji
4. Abbas Kayanda
5. Mathayo Masele
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
wa kilombero kapelekwa wapi?1) Basila Mwanukuzi
2) Jerry Muro
3)Siael Mchembe.
Kabaki palepaleJe Mtatiro?
Huyo 1 alikuwa ananenepeana tu..sijui Ile BMW X3 aliyoagiza ataweza kuilipia ushuru ikifika😔1) Basila Mwanukuzi
2) Jerry Muro
3)Siriel Mchembe.
Jerry aniuzie tu shamba lake la Nduruma😅1) Basila Mwanukuzi
2) Jerry Muro
3)Siriel Mchembe.
JERRY MURO anasubiri UKUU wa MKOA1) Basila Mwanukuzi
2) Jerry Muro
3)Siriel Mchembe.
Basila hata akirudi uraiani ataendelea kula maisha1. Basils Mwanukuzi
2. Jerry Muro
3. Vicent Mashinji
4. Abbas Kayanda
5. Mathayo Masele
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Hivi huyu basila mpaka kupewa udc ilikuwaje kuwaje??
Ova