Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Huu mkeka umeshindwa kutuonyesha walioachwa kwa ujumla wao
Wametuonyesha
1)wapya
2)walioamishwa
3)waliosalia maeneo yao
4)walioachwa ??????????????
Simple mathematics. Wapya ni reflection ya idadi ya walioachwa if and only if the number of districts remain constant/same. Hivyo tafuta hiyo orodha yote 37. SHIDA hatuna investigative Journalists maana wanaishi maisha ya kinjanjaa. Hawapati support financially kufanya investigative Journalism ambayo ni costly. Ngoja tuendelee kubashiri tu.
 
NGOJA MNAODHANI WAMEKWISHA WAPEWE UWAZIRI AU NAFASI NENE ZAIDI.TUBAKI TUNAKODOLEANA MACHO NA KUZODOANA.KUVICHUKULIA KWA MAKINI VITU VYA KITANZANIA NI KUJIKOSEA ADABU.
 
Tubadili katiba tuu. Hawa watu wachaguliwee. Yaani uteuzi umekuwa ishuuuuu. Tunasubiria na kushangilia kama mazuzu
 
Mkuu hujui kwamba ukiwa mkuu wa wilaya unakuwa raisiwa wilaya na ukiwa mkuu wa mkoa unakuwa raisi wa mkoa, hivyo vyeo havina stress yoyote, wenye stress ni makatibu tawala, wakuu wa mikoa kazi zao ni kupiga simu kwa mama kwenye mikutano ya hadhara na kusema wananchi wa huku wanasema 5 tena kwa mama.
Na ndiyo maana elimu kubwa Sana siyo kigezo na wengi wao ni kundi la vitengo. Sijui kama siku hizi wanazingatia hiki kigezo cha kipenyo. Ila huko nyuma ni lazima au kwa over 90% lazima watoke ndani ya mwavuli wa jumba la ngalawa.
 
1) Basila Mwanukuzi

2) Jerry Muro

3)Siriel Mchembe.

4)Gabriel Zachariah.

5)Jasinta Mboneko.

6)Mathayo Masele.
Sasa hivi Kuna mwamko wa Katiba Mpya. Labda ni wakati wa kujiuliza: Are we over governed?. Tuna watawala wengi kupitia kiasi?

Je, Wakuu wa Wilaya bado tunawahitaji miaka zaidi ya 60 baada ya Uhuru? Je, isingetosha Mkuu wa Mkoa akafanya kazi na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ndio hasa watendaji?

Gharama kubwa za Wakuu wa Wilaya si zingepunguzwa?
 
Hakuna haja ya kuwa na wakuu wa wilaya wala wakuu wa mikoa. Hawana kazi yoyote ya maana. Kikubwa wanatajwa kuwa eti ni wakuu wa kamati za Ulinzi na usalama!! OCDs na RPCs wangeweza kuwa wakuu wa hizo kamati, kisha tukaondokana na hawa watu.
 
Vunja bei hapo ndo mwisho wao. Watabaki kuwa wazazi tu.
Vunja Vunja ndiyo amefurahi ili aendelee kuvunjavunja wengine bila wasiwasi kabisa. Ukiona mwanaume mna date hata siku Moja hakutambulishi anakuna tu kama Yuda Iskarioti ujue huna thamani kwake na kuwa msururu ni mrefu hivyo hataki kuharibu vitumbua vyake kwa mchanga.
 
Hizi nyadhifa za zama za kikoloni hazina maana kwetu kwa sasa. Wananchi waachwe wachague viongozi wao wenyewe wanaweza kuwajibika kwao. Period.
 
Back
Top Bottom