Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahi amepelekwa Gondwe.Mwaipaya amepelekwa Bahi
Kwa hiyo ukiwekwa jikoni na una uwezo wa kula nusu kilo, ule kilo tatu sababu upo jikoni.Kila pahala panahitaji haiba aina yake.Mkoa aliooekwa singida unaijua wewe
Mashinji yupo Wilaya ya Serengeti na amebakiHivi no 3. Vicent Mashinji alikuwa ametunukiwa Wilaya gani? Maana hata mabubu tuliwasikia isipokuwa bubu huyu.
Maneno mengi huyu utendaji sifuriBahi amepelekwa Gondwe.
Akatukanane na mzungu live live.Yanga imrudishe chawa wake
Simple mathematics. Wapya ni reflection ya idadi ya walioachwa if and only if the number of districts remain constant/same. Hivyo tafuta hiyo orodha yote 37. SHIDA hatuna investigative Journalists maana wanaishi maisha ya kinjanjaa. Hawapati support financially kufanya investigative Journalism ambayo ni costly. Ngoja tuendelee kubashiri tu.Huu mkeka umeshindwa kutuonyesha walioachwa kwa ujumla wao
Wametuonyesha
1)wapya
2)walioamishwa
3)waliosalia maeneo yao
4)walioachwa ??????????????
Ni kutokana na mapato rahisi mazuri na haramu mkuu.Zinapendwa kwa kuwa sio kazi za kitaalamu. Wengi wetu kwa vile hatuna uwezo wa taaluma tulizonazo kudeliver, hiyo nafasi inatufaa sana kwa u "empty head" wetu.
Na ndiyo maana elimu kubwa Sana siyo kigezo na wengi wao ni kundi la vitengo. Sijui kama siku hizi wanazingatia hiki kigezo cha kipenyo. Ila huko nyuma ni lazima au kwa over 90% lazima watoke ndani ya mwavuli wa jumba la ngalawa.Mkuu hujui kwamba ukiwa mkuu wa wilaya unakuwa raisiwa wilaya na ukiwa mkuu wa mkoa unakuwa raisi wa mkoa, hivyo vyeo havina stress yoyote, wenye stress ni makatibu tawala, wakuu wa mikoa kazi zao ni kupiga simu kwa mama kwenye mikutano ya hadhara na kusema wananchi wa huku wanasema 5 tena kwa mama.
Sasa hivi Kuna mwamko wa Katiba Mpya. Labda ni wakati wa kujiuliza: Are we over governed?. Tuna watawala wengi kupitia kiasi?1) Basila Mwanukuzi
2) Jerry Muro
3)Siriel Mchembe.
4)Gabriel Zachariah.
5)Jasinta Mboneko.
6)Mathayo Masele.
Hakuna haja ya kuwa na wakuu wa wilaya wala wakuu wa mikoa. Hawana kazi yoyote ya maana. Kikubwa wanatajwa kuwa eti ni wakuu wa kamati za Ulinzi na usalama!! OCDs na RPCs wangeweza kuwa wakuu wa hizo kamati, kisha tukaondokana na hawa watu.Sasa hivi Kuna mwamko wa Katiba Mpya. Labda ni wakati wa kujiuliza: Are we over governed?. Tuna watawala wengi kupitia kiasi?
Je, Wakuu wa Wilaya bado tunawahitaji miaka zaidi ya 60 baada ya Uhuru? Je, isingetosha Mkuu wa Mkoa akafanya kazi na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ndio hasa watendaji?
Gharama kubwa za Wakuu wa Wilaya si zingepunguzwa?
Vunja Vunja ndiyo amefurahi ili aendelee kuvunjavunja wengine bila wasiwasi kabisa. Ukiona mwanaume mna date hata siku Moja hakutambulishi anakuna tu kama Yuda Iskarioti ujue huna thamani kwake na kuwa msururu ni mrefu hivyo hataki kuharibu vitumbua vyake kwa mchanga.Vunja bei hapo ndo mwisho wao. Watabaki kuwa wazazi tu.
🤣 🤣 🤣Mama yake na kidera eeeh🤗🤗🤗🤗
Vunja Vunja ndiyo amefurahi ili aendelee kuvunjavunja wengine bila wasiwasi kabisa. Ukiona mwanaume mna date hata siku Moja hakutambulishi anakuna tu kama Yuda Iskarioti ujue huna thamani kwake na kuwa msururu ni mrefu hivyo hataki kuharibu vitumbua vyake kwa mchanga.Vunja bei hapo ndo mwisho wao. Watabaki kuwa wazazi tu.
Jokate kaenda na mumewe?Basila alikuwa Korogwe,sasa Korogwe kapelekwa Jocate.