Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

7. Wema Sepenga
Ujana maji ya moto shenzeee

Huyu Mshenzi alijua kuvuruga watu na kipindi chake cha Zamaradi take One ,yaani alinipagawisha kumiliki mjengo wa maana ,gari 4(Q7,Mark X,Murano,Harrier Pink Tako la nyani),Kampuni Kubwa Ya Film halafu kaweka Macntosh za milioni 4 hadi kwa receptionist na ndani kwake kaweka furniture za milioni 50 halafu mimi sina hata kiwanja cha miguu 10 kwa 10.

Kumbe msanii ni msanii alikuwa anafanya acting haha ha hahahaa labda sasa hivi wozu too much money kwa tag la mkinga break price anaweza akamjengea hata kibanda cha vyumba viwili.
 
Marehemu Kanumba mama yake alimsumbua sana wakili wa Kanumba akidhani kuna mamilioni.Wakili akamtonya kuwa benki ana elfu ishirini,gari ni la mkopo,kitu halali anachomiliki ni mashamba mawili.

Nakumbuka alikuwa na ndinga kama tatu hivi moja mark ii grabde nyeupe ,prado na kihiace cha kampuni yake ya The Great Movie.....Hivi aliacha mashamba kweli huyu?
 
Huyu hana akili, hakuna kitu kilikuwa kinanikera wasichana wazi wakitamka huyu ni Role model wao.. haiigii akilini asee, afadhari now wamepunguza kama sio kuacha kabisa.
 
Huyu wa mwisho atakufa lini ?
 
Na msijenge karibu na makanisa ya kilokole,Ni KERO

Nahisi leo nakesha,jirani kuna kanisa wamefungulia dundo si la kitoto na wanafuatisha kuimba,
Hii Nchi tunavumiliana, baada ya midundo ya kikristo baadaye hapohapo utasikia alaaaaaaaskbaaaaralaaaakbarrrrrrrrt na vitisho vya sanda nayo tunaivumilia.
 
Lazima ujiangalie na kumuuliza Mungu ulipokosea.
Kumbe wenzio wana act🤣🤣🤣

Aiseee baada ya kuangalia kile kipindi nilijiona TUTUSA sana maana watu wana mijengo ya milioni 400 ,ndiga zipo uwani 4 ,kampuni kubwa tu ya Film ambayo inamwingizia pesa by then nikijicheck sina hata kiwanja cha 10 kwa 10.......Daaaah At the end kumbe alikuwa location anafanya acting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…