King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
nimeona wengi wanaopinga kujenga ndo wazee wa KATAA NDOA pia... shida nini wakuu? mzee mdukuzi hebu ongeza majina ya wanaopinga kujenga chini ya jina la Ray hata kama wapo hai... 😀
7. McGarab (yupo hai)1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
Itaendelea
Huyo pilipili kaoa7. McGarab (yupo hai)
8. Semaji la Klabu (yupo hai)
9. McPilipili (yupo hai)
Kaoa. Na u-MC haumlipi siku Hz kafunikwa sanaHuyo pilipili kaoa
Ana shida gani mtoto wa mama huyo mweupeee hata hawaziMzee wa kunywa maji mengi 🤣🤣🤣🤣🤣
8. Ana kibanda??7. McGarab (yupo hai)
8. Semaji la Klabu (yupo hai)
9. McPilipili (yupo hai)
KapoaAna shida gani mtoto wa mama huyo mweupeee hata hawazi
Hakijaisha. Rushaina kastuka!8. Ana kibanda??
Umri nao umesogea sana lazima apoeKapoa
Elimu NAyO hanaUmri nao umesogea sana lazima apoe
Unamaanisha atakufa bila kujanga?Ray Kigosi(yuko hai)
Kwani Dr Shaba ana siri gani ya kifo cha Sokoine??akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
Vijana wangu wanapotea kwa kukosa maarifa 🤣🤣Kaoa. Na u-MC haumlipi siku Hz kafunikwa sana
Kwa mkiristo Kujenga karibu na msikiti nako hakuna unafuu. Wakianza kurapu zile chorus zao: salaaa salaaaa amkeni sala ni muhimu kuliko usingizi, salaaa salaaa lazima usingizi utayeyukaNa ww ni muislamu sasa [emoji58][emoji1787]
Vile alivyokuwa akimuangalia 🤣🤣🤣🤣Sauti ya zege ...Mainda Mwananguuuuuu!! Stepp Umepotea Sana.
Eti alifanya postmotamu ya kiongozi mkuuubwa akakuta vitu vinafanana na jina lake 18 ndani ya mwili wa marehemu.Kwani Dr Shaba ana siri gani ya kifo cha Sokoine??
Ila tusimtusi Kanumba ndo alikuwa anaibukia... maana hata miaka 35 alikuwa hajafika kwahiyo inawezekana pesa yake nyingi aliamua kuiwekeza kama working capital ili mambo yake yaendeNakumbuka alikuwa na ndinga kama tatu hivi moja mark ii grabde nyeupe ,prado na kihiace cha kampuni yake ya The Great Movie.....Hivi aliacha mashamba kweli huyu?