Demba wwee tujaze tujazike,haya bhana,Muhudumu lete Bia Kama kawaida, wengine tunasubiri hadi Cement ishuke bei hadi 5000 kwa mfuko ndiyo tuanze hayo Mambo ya ujenzi!!Yaani mtu uache kunywa bia uanze kununua sijui mabati, yakikukata je?
Mswahili usipomchapa viboko, ujinga hautomtoka. Kiboko!Ni kosa kumweka mtu aliyehai katika orodha ya watu wafu
Sasa huyo shaba na ray wamekufa kwani1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
Itaendelea
Sasa km Hana nyumba licha ya kuwa maarufu anatofauti gani na wafu,,Ni kosa kumweka mtu aliyehai katika orodha ya watu wafu
Teh teh...Siyo Ray ila na mimi naishi kwenye nyumba ya mzazi wangu
Sinza nina mjengo kule [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi kisura unaishi sinza? Nakufuatilia si kwa ubaya ujue
Muda bado atafanya mkuuSasa km Hana nyumba licha ya kuwa maarufu anatofauti gani na wafu,,
alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
Itaendelea
Huyo ndo alikuwa main castNi kosa kumweka mtu aliyehai katika orodha ya watu wafu
Dah..[emoji23]Hakuna haja tutaagia kanisani
Nilimjengea mama yakwangu mwakaniMswahili usipomchapa viboko, ujinga hautomtoka. Kiboko!
Ukipata pesa usisahau kujenga.😕😕
🤗🤐Huyo ndo alikuwa main cast
Hahaha[emoji23]Mimi kama Ray kigosi[emoji849]
Saa 12 ndio muda wangu wa kulalaSaa 12 hii amka usaidie kuosha vyombo dada zako
Ujinga TU unapewa pensheni ya 200m na bado unashinwa kujengea wanao nyumba ya 50m ...Duniani ulikuja kufanya nnalipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea[emoji3064][emoji848]
Nakumbuka kuna kasichana kaliitwa Zinduna kalitoroka kutoka kwao na kuja Dar kumtafuta Sepenga ili aishi Maisha Kama ya spenga,na kalikataa shule,sema mwisho nazani Wazazi wake walikuja kukachukua kwa msaada wa police na kukarudisha kwao!!Huyu hana akili, hakuna kitu kilikuwa kinanikera wasichana wazi wakitamka huyu ni Role model wao.. haiigii akilini asee, afadhari now wamepunguza kama sio kuacha kabisa.
Makazi ya mbinguni ni ya kiroho sio ya kimwiliDunia tunapita makazi yetu yapo kwa Baba mbinguni....unajengaje njiani mkuu
Aisee ...[emoji848][emoji2827]Utakufa bila kufunga macho wewe
Acha ujinga.walojenga hizo nyumba zinawasaidia nini huko kaburini?wangezikwa kwenye nyumba zao basi?? Tena wengine nyumba zao zilishauzwa tena bei chee tu na watu wakala hela wakapita hivi