Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali

2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.

3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?

4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea

5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

Itaendelea
Sasa huyo shaba na ray wamekufa kwani
 
alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea[emoji3064][emoji848]
 
Wahindi mbona hawana nyumba ?

Unabidi kuishi Maisha mazuri Kama wahindi unakaa Apartment huku bank ukiwa na Pesa zako za kutosha na Biashara zilizosimama , so Mimi nampongeza Kanumba kwa kuishi Maisha standard ambayo ndo ndoto za kila Kijana mwenye akili.

Kama unajenga Jenga nyumba Kuanzia mil 500+ na sio huu uchafu mnaojenga watz wa vyumba vitatu au vinne kama sio viwili huku mna watoto kumi
 
alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea[emoji3064][emoji848]
Ujinga TU unapewa pensheni ya 200m na bado unashinwa kujengea wanao nyumba ya 50m ...Duniani ulikuja kufanya nn
 
Huyu hana akili, hakuna kitu kilikuwa kinanikera wasichana wazi wakitamka huyu ni Role model wao.. haiigii akilini asee, afadhari now wamepunguza kama sio kuacha kabisa.
Nakumbuka kuna kasichana kaliitwa Zinduna kalitoroka kutoka kwao na kuja Dar kumtafuta Sepenga ili aishi Maisha Kama ya spenga,na kalikataa shule,sema mwisho nazani Wazazi wake walikuja kukachukua kwa msaada wa police na kukarudisha kwao!!
 
Back
Top Bottom