Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

Majuto, Kingwendu, Bambo, wale wa zamani wote wameukonga sana moyo wangu.

Kuna wale wa star tv wa zamani kina Nkombe wa kulichombe, braza K angalau pia.

Channel ten ilikua na kikundi cha wachekeshaji wale wa inye gwede gwede na inye ndembe ndembe wale pia walikua wazuri.

Joti hakuna kitu, mpoki hakuna kitu, masanja hakuna kitu,.

Sasa hakuna wachekeshaji Tanzania.
 
Mambo Na vijambo vile vichekesho serious

Nampenda

1.Mboyoyo
2.Chauroho

Commedy script ya chauroho.
●Hawa kuku ukiona wakitembea wala huwajuhi kama ndiyo hawa wakipikwa

Mboyoyo
Kuweka unga ndani kuoga njaa tu teja abebeki

Nawapenda sana hawa jamaa
 
1. Senga
2. Mtanga
3. Bambo
4. King Majuto
5. Kingwendu

Hawa walikuwa na uwezo mkubwa ila tu hawakuwa kwenye era ya social media. Tafuta movies zao kama Inye Gwedegwede, Siku wa Wajinga, Mizengwe (movie), Umelipiwa, Zogo la Uswazi, na.k.

Hawakuwa na teknolojia nzuri wala team nzuri za directors, waongozaji wala vifaa ila walifanya vema.
 
Hii ni orodha yangu....Tafadhali iheshimiwe

Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:-

1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani)

2. Mpoki

3. Joti.

Nimemaliza.....prove my list wrong...

Orodha tayar
Uzi tayar
Over&out
Bye....
Kuna
Asenga mtendee haki
Mtanga mtendee haki
Bambo mtendee haki pia
 
1. Senga
2. Mtanga
3. Bambo
4. King Majuto
5. Kingwendu

Hawa walikuwa na uwezo mkubwa ila tu hawakuwa kwenye era ya social media. Tafuta movies zao kama Inye Gwedegwede, Siku wa Wajinga, Mizengwe (movie), Umelipiwa, Zogo la Uswazi, na.k.

Hawakuwa na teknolojia nzuri wala team nzuri za directors, waongozaji wala vifaa ila walifanya vema.
Hawa hawakuwa na management nzuri ya kupiga pesa ndefu, kama wanayopiga wahuni tu kuchekesha wanalazimisha, hawa malegent nawakubali kuna wale wa Mizengwe wakiongozwa na Mkwere ni hatari.
 
Back
Top Bottom