Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

Mambo Na vijambo vile vichekesho serious

Nampenda

1.Mboyoyo
2.Chauroho

Commedy script ya chauroho.
●Hawa kuku ukiona wakitembea wala huwajuhi kama ndiyo hawa wakipikwa


Mboyoyo
Kuweka unga ndani kuoga njaa tu teja abebeki

Nawapenda sana hawa jamaa
Mboyoyo ni mwisho wamatatizo
kuweka unga ndani ni kuogopa njaa.
mzee wa atlanta
 
Hii ni orodha yangu....Tafadhali iheshimiwe

Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:-

1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani)

2. Mpoki

3. Joti.


Nimemaliza.....prove my list wrong...

Orodha tayar
Uzi tayar
Over&out
Bye....
Kwenye list yako namkubali Mpoki tu, Joti kujifanya jike huwa inanichefua ni kama ushoga flani. Late Majuto alikuwa overrated.
 
Hii ni orodha yangu....Tafadhali iheshimiwe

Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:-

1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani)

2. Mpoki

3. Joti.


Nimemaliza.....prove my list wrong...

Orodha tayar
Uzi tayar
Over&out
Bye....
Pilipil
 
Jol master

Ana contents zakeza kijinga sana za vijana na tuliyopitia kwenye mahusiano


Jmn tukumbushane hatushindani kutaja wakongwe wa comedy


Kuna dada flan mjinga mjinga anaitwa dachaz nae yupo vzr kwa ubunifu
 
Mchekeshaji Joti, Majuto hata sjui alikuwa anachekesha nin , Mpoki miyeyusho
 
Back
Top Bottom