Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

Wengi wape naona King majuto na Joti hawana mpinzani nina imani hata tukipiga kura tanzania nzima hao wawili wanakuchukua tuzo
 
Nyie ndo mashabiki wa Mkarewenu[emoji23]
Bongo sijaona mchekeshaji. Mchekeshaji anacheka ndio ujue amefikia kwenye kicheksho ili ucheke. Siwezi cheka upuuzi. Bongo wako wa kuhesabu lakini sio ze komedi shoo
 
Bongo wanajua kutukana ndio kuchekesha. Na wanume kujigeuza wadada.
 
Bongo sijaona mchekeshaji. Mchekeshaji anacheka ndio ujue amefikia kwenye kicheksho ili ucheke. Siwezi cheka upuuzi. Bongo wako wa kuhesabu lakini sio ze komedi shoo
Ndio uwataje hao wachache, acha ujuaji wa kitanzania
 
Hakuna kama King Majuto..akifuatiwa na Joti. Namba 3 sioni, labda Braza K nae sio mbaya
 
Back
Top Bottom