Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
- #61
Mkojanii
Wapi mkojani
Mwenye link za video zake
Wapi mkojani
Mwenye link za video zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majuto alikuwa overrated sana, hata kwa mimi mhenga ambaye nimesikiliza kuanzia comedies za kwenye redio za akina Pwagu na Pwaguzi na kuwasikia akina Mzee Jongo, Saidi Panda, Hamisi Tajiri and the likes hivyo si kila anayeamini Majuto ni overrated ameanza kufuatilia comedies miaka hii ya karibuni.Kama unaona majuto ovee rated jua una matatizo au umezaliwa juzi kijana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Teacher mpamire[emoji3]
Aisee, kwako ww vigezo vya uchekeshaji ni vipi? Binafsi hakuna wa kumfananisha na Marehemu Majuto kwa kila engo.Mzee Majuto hata sikuona uchekeshaji wake
Binafsi Majuto hajawahi kushindwa kunichekesha kila nikiangalia movie zakeMajuto alikuwa overrated sana, hata kwa mimi mhenga ambaye nimesikiliza kuanzia comedies za kwenye redio za akina Pwagu na Pwaguzi na kuwasikia akina Mzee Jongo, Saidi Panda, Hamisi Tajiri and the likes hivyo si kila anayeamini Majuto ni overrated ameanza kufuatilia comedies miaka hii ya karibuni.
Kwako wachekeshaji ni wepi? Unatenganishaje vituko na uchekeshaji?Wanaoitwa wachekeshaji bongo, huwa naona kama wanafanya vituko...labda tuwaite wafanya vituko!
Labda kidogo, jamaa wanaofanya stand-up comedy, maana wale hawatumii nguvu kubwa kumfanya mtu acheke...
Wafanya maigizo wengi kwenye TV wamekuwa wakipiga tu makelele, kuvaa nguo za ajabu ajabu, kubadili sauti, kukimbizana kama wendawazimu na marungu n.k
Kwako wachekeshaji ni wepi? Unatenganishaje vituko na uchekeshaji?
Kwahiyo tafsiri ya uchekeshaji kwako ni Stand-up comedy sio? UNACHEKESHA[emoji1][emoji1]Wachekeshaji bora nimetaja hapo, wale wanaofanya stand up comedy...
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili, kituko ni jambo la kustaajabisha na kichekesho ni jambo lenye kuleta kicheko...
I respect your opinion, binadamu tuna different tests kwenye kila kitu.Binafsi Majuto hajawahi kushindwa kunichekesha kila nikiangalia movie zake
hata mimi kuna mastaa wengi sana nimewajulia kwenye mabasi ya mikoaniMkojani mara ya kwanza kumuona ni kwenye basi za mkoani.....
At the first time nilimkubali 😂
Kwahiyo tafsiri ya uchekeshaji kwako ni Stand-up comedy sio? UNACHEKESHA[emoji1][emoji1]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]1.Jaymond
2.dulavan
3.Mkaliwenu
4. Ebitoke
5.mc mboneke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1.Jaymond
2.dulavan
3.Mkaliwenu
4. Ebitoke
5.mc mboneke