akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Hawa jamaa huwaga wanatabia ya kuchagua upande, kipindi cha mzee wa Push-up midomo yao ilikuwa rikizo kana kwamba walikua hawaoni, hawasikii na wala hawajui hata kama walikuwa wanajuzwa na wanaojua kilichokua kinaendelea wakati ule.Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Mimi nasema Rais Samia anahusika na mauaji ya kada wa Chadema.Wewe unasemaje katika hili?
CHEKI HILI BOGAZ liloahidiwa Mabikira 72Usomi wenu uko wapi kafiri wee...
Usomi unajipambanua katika kuisadiia jamii,sasa usomi wenu nyinyi makafiri ni katika kuibia serikali kisha ndipo mje mjiite wasomi?
Usomi wa KANISA uko wapi,wa kuwa hodari wa kutoa waraka kwa serikali??
Hovyo kabisa.
Siwezi kubishana na MTU wa kuzimu...Fala mwenyewe kafiri wewe.
Nani hajui kuwa makafiri mmejaa chuki zisizo na kifani kwa waislam na uislam??
Sasa KWA taarifa yenu,huyu mama hamumfanyi chochote kile,hizo mimba zenu za chukii safari hii mtaenda labor mtake msitake.
Nimetumia haki yangu ya msingi kuchangia kile nachoona hivyo nasoma comment za wengine pia kujifinza ila naona wewe ni mzee wa ligiWapinzani ndio wakosaji zaidi ulitaka wawaone wengine hata kama hawajapanga uhaini wa Samia Must Go?
Kwani yeye hamjui yule Padre mtekaji na muuaji wa mtoto Albino huko Geita? Pia hamjui yule Padre wa Bunda aliyeiba 1+ B za waumini wa huko? Wala asiseme ni viongozi tu ndio wanaojua hata yeye anajua.Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Mpumbavu aliyekuleta dunianiPadre mpumbavu
Ungekuwa unatumia ubongo kufikiri usingetoa comment hii. Ndugu acha kujizima data kwani wanaotekwa na kuuwa ni wakristo peke yao.. Viongozi wa Kikristo wanatetea haki ya kuishi ya kila raia bila kujali dini ya mtu.Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Kama wewe unavyoendeshwa na DJ Mbowe.Siwezi kubishana na MTU wa kuzimu...
Huyo mama yenu hatuna time naye kwasababu hapo alipo yupo chini ya watu wanamwendesha kama remote tu
Mbona Padre aliteka na kuua Albino huko Geita!!?Ungekuwa unatumia ubongo kufikiri usingetoa comment hii. Ndugu acha kujizima data kwani wanaotekwa na kuuwa ni wakristo peke yao.. Viongozi wa Kikristo wanatetea haki ya kuishi ya kila raia bila kujali dini ya mtu.
Wakati ule kila mtu alikuwa kimya masheik, mapadri nk kwani yule nduli alikuwa muuaji hatari sana. Sasa angalau mama anasema anataka maridhiano lakini bado anahofu na Mbowe.Hawa jamaa huwaga wanatabia ya kuchagua upande, kipindi cha mzee wa Push-up midomo yao ilikuwa rikizo kana kwamba walikua hawaoni, hawasikii na wala hawajui hata kama walikuwa wanajuzwa na wanaojua kilichokua kinaendelea wakati ule.
Fikiri kidogo kabla ya kuandikaKwani yeye hamjui yule Padre mtekaji na muuaji wa mtoto Albino huko Geita? Pia hamjui yupe Padre wa Bunda aliyeiba 1+ B za waumini wa huko? Wala asiseme ni viongozi tu ndio wanaojua hata yeye anajua.
Ni kweli kabisaSikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Wanauwezo wa kujua mambo ya vikao vya chadema ila hawana uwezo wa kuwajua watekaji na wauaji!??Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Nimeletwa na Mungu ila ni mpumbavuMpumbavu aliyekuleta duniani
Amenena ukweli, ila habari kama hizi Bibi Chura Kiziwi na genge lake hawataki kuzisikia, chonde chonde Allah amuepushe Padre huyu na mabaya kutoka kwenye makucha ya genge hili dhalimu.Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Kule kuna rais huku kuna mfano wa raisHivi hata kule zenji kuna utekaji na mauaji kama huku bara?
Huyu father namkubali sana hajui kupindisha kwa yeyote yule mpaka kanisa lenyewe huwa analichana live. SAFI SANASikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.